Form two students

Form two students Karibuni wanafunz wote wa form two k**a mimi tubadilishane ujuzi katika page hii,
k**a utakuwa na swali uliza kwa kulipost then utajibiwa kwa coment,

Maswali ya review yatahusika humu.

Habari Wanafunzi wa form two na vidato vingineHabari njema ni kuwa mimi mmiliki wa page hii pendwa ya wanafunzi wa sekon...
26/07/2023

Habari Wanafunzi wa form two na vidato vingine

Habari njema ni kuwa mimi mmiliki wa page hii pendwa ya wanafunzi wa sekondari nimewaandalia materials ya kujisomea ambayo utayapata popote ulipo tanzania

Materials ni k**a yafuatayo
1. Mathematics form 2, 3 and 4 , kila kitabu utakipata Kwa gharama ya sh 5000/ za kitanzania

2. Physics form 1, 2 , 3 and 4 kila kitabu utakipata Kwa gharama ya sh 5000/ za kitanzania

3. Chemistry form 1, 2, 3 and 4 kila kitabu utakipata Kwa gharama ya sh 5000/ za kitanzania

4. Biology form 1, 2, 3 and 4 kila kitabu utakipata Kwa gharama ya sh 5000/ za kitanzania

Vitabu vyote vina topics zote na maswali mengi ya kujipima, na vinaendana na syllabus ya somo husina

Delivery ni bure Kwa watu wa Dar d's salama na wa mikoani usafiri ni elfu tano tu hata k**a utachukua vitabu kumi

Kwa mawasiliano piga simu au tuma sms kwa namba hii 0626508085

KARIBUNI wauza vitabu na wanafunzi mpate materials bora Kwa ajili ya kujifunza zaidi

Mnaweza kujiunga na group langu la WhatsApp Kwa maswali zaidi kupitia link hiyo chini

WhatsApp Group Invite

GROUP LA WHATSAPP TAYARI....MNAKARIBISHWA WOTEEEComment namba yako chini hapo
10/06/2020

GROUP LA WHATSAPP TAYARI....MNAKARIBISHWA WOTEEE

Comment namba yako chini hapo

08/06/2020

Jamani kwa wale wanaohitaji maswali na notes drop number yako ya WhatsApp kwenye comments

Nitakuwa nikifundisha mada mbalimbali kila ijumaa

03/01/2019

TUMERUDI TENA KARIBUNI TUENDELEE KUSHARE

05/03/2017

Nimerud jamani mpoo?

Flames
14/10/2016

Flames

Lunar eclipse
14/10/2016

Lunar eclipse

Almentary canal
14/10/2016

Almentary canal

Gold-leaf electroscope
14/10/2016

Gold-leaf electroscope

Light microscope
14/10/2016

Light microscope

28/09/2016

FUNDAMENTAL LAW OF CHARGES states that"like charges repel each other while unlike charges attract each other"

THREE METHODS(WAYS) OF CHARGING A BODY ARE:
a}charging by rubbing(friction)
b}charging by induction
c}charging by contact

28/09/2016

TOPIC:STATIC ELECTRICITY(Summerised notes)

STATIC ELECTRICITY-is the study of stationary(non-moving) charge

types of charges
a}positive charge(-)
b}negative charge(+)

A body is said to be CHARGED if it LOSES or GAINS electrons

A body is said to be charged positively if loses electrons

A body is said to be charged negatively if it gains electrons
A body is to be neutral if it has equal number of protons and e

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Form two students posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category