SIDO Tanzania

SIDO Tanzania SIDO was established as a parastatal organisation under Ministry of Trade, Industry and Marketing (now Ministry of Trade)

MWANZAHakuna KIINGILIO, Karibu Sana.
08/06/2026

MWANZA
Hakuna KIINGILIO, Karibu Sana.

DAR ES SALAAMKaribu Tuyajenge pamoja!!!
07/06/2026

DAR ES SALAAM
Karibu Tuyajenge pamoja!!!

DAR ES SALAAM Karibu Tuyajenge kwa ajili ya kukuza Sekta ya Viwanda Vidogo.
07/06/2026

DAR ES SALAAM
Karibu Tuyajenge kwa ajili ya kukuza Sekta ya Viwanda Vidogo.

DAR ES SALAAMKaribu Tushiriki Pamoja.Karibu Tukuhudumie.
07/06/2026

DAR ES SALAAM
Karibu Tushiriki Pamoja.
Karibu Tukuhudumie.

MBEYAKazi na Utu, Tunasonga Mbele.Karibu Tukuhudumie.
07/06/2026

MBEYA
Kazi na Utu, Tunasonga Mbele.
Karibu Tukuhudumie.

SIDO MTWARA KUVIWEZESHA VIWANDA VIDOGO KUPATA MIKOPOMoja ya huduma inayotolewa na SIDO Mtwara ni kuviwezesha viwanda  na...
06/06/2026

SIDO MTWARA KUVIWEZESHA VIWANDA VIDOGO KUPATA MIKOPO

Moja ya huduma inayotolewa na SIDO Mtwara ni kuviwezesha viwanda na wazalishaji wadogo na wa kati kupata mikopo nafuu itakayoviwezesha kuongeza uzalishaji wa bidhaaa nchini.Ofisi ya SIDO Mkoa wa MTWARA imetembelea kiwanja
BAKA SALT FARMS kilichopo kata ya Msangamkuu Wilaya ya Mtwara Vijijini kinachojishushulisha na uvunaji wa Chumvi na kuongeza thamani zao hilo kwa lengo la kufanya tathmini na kupewa ushauri wa kuzingatia ili kuweza kupata mkopo katika Moja ya mifuko ya mikopo inayopatikana SIDO.

PAMOJA TUJENGE VIWANDA.

05/06/2026

MTWARA
SIDO ina Ofisi katika mikoa yote ya Tanzania Bara, karibu tukuhudumie katika Ofisi yetu ya SIDO Mkoa wa Mtwara.

Kwa maelezo zaidi wasiliana na Meneja wa SIDO Mkoa wa Mtwara Bi. Merina Mkuchu 0715422700.

Huduma zinazotolewa ni, Teknolojia, Mafunzo na ushauri wa biashara, Masoko na Uwekezaji, Mikopo na Ushauri wa kifedha.

Pamoja Tujenge Viwanda kwa Ajira na Uchumi Endelevu.

05/06/2026

SONGWE
Meneja wa SIDO Mkoa wa Songwe, Bi. Halima Kazindogo 0767234269.

SIDO!!! Pamoja Tujen

TANGAAnzisha kiwanda na SIDO, fursa ya mafunzo isikupite. Jiandikishe Mapema.
05/06/2026

TANGA
Anzisha kiwanda na SIDO, fursa ya mafunzo isikupite.

Jiandikishe Mapema.

Address

Mfaume Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30

Telephone

+255222151948

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SIDO Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to SIDO Tanzania:

Share