Mamlaka ya Elimu Tanzania

Mamlaka ya Elimu Tanzania TEA ilianzishwa kwa sheria ya Bunge Na. 8 ya Mfuko wa Elimu ya mwaka 2001 kifungu cha 5(1) ikiwa na jukumu la kusimamia na kuratibu Mfuko wa Elimu

Sasa hivi TEA inaendesha kampeni ya ujenzi wa hosteli za wasichana 30 zitakazohudumia wasichana 1,504 katika mikoa nane nchini. Jumla ya shilingi bilioni2.3 zinahitajika ili kukamilisha mradi huu. Tafadhali tunaomba mchango wako ili kuweza kukamilisha azma hii. Unaweza kuchangia kwa kupitia akaunti ya Mfuko wa Elimu iliyopo benki ya CRDB akaunti number 01J1027639900 “Mfuko wa Elimu.” au Mpesa numb

er 404040 au tuma neno Changia Tofali kwenda number 15564 ambapo utakuwa umechangia shilingi 250/=. Na pia unaweza kuwasilisha mchango wako katika ofisi za Mamlaka ya Elimu Mikocheni

Address

Barabara Ya Kambarage , Kitaru Namba 717/3, Mikocheni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mamlaka ya Elimu Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mamlaka ya Elimu Tanzania:

Share