GPSA Tanzania

GPSA Tanzania Official Facebook Account of Government Procurement Services Agency of Tanzania

Tunawatakia Waislamu wote na wananchi kwa ujumla sikukuu njema ya Maulid.
25/08/2026

Tunawatakia Waislamu wote na wananchi kwa ujumla sikukuu njema ya Maulid.

RATIBA YA MAZISHI
21/08/2026

RATIBA YA MAZISHI

TANZIA
20/08/2026

TANZIA

SIKUKUU YA WAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI
08/08/2026

SIKUKUU YA WAKULIMA, WAFUGAJI NA WAVUVI

PONGEZI
08/08/2026

PONGEZI

VIONGOZI NA WANANCHI  WATEMBELEA BANDA LA GPSA KATIKA MAONESHO YA NANENANE 2026 KANDA YA MAGHARIBI (IPULI - TABORA)Viong...
06/08/2026

VIONGOZI NA WANANCHI WATEMBELEA BANDA LA GPSA KATIKA MAONESHO YA NANENANE 2026 KANDA YA MAGHARIBI (IPULI - TABORA)

Viongozi mbalimbalina wananchi watembelea banda la GPSA katika maonesho ya wakulima, wavuvi na wafugaji (Nanenane) Kanda ya Magharibi yaliyoanza tarehe 1 Agosti,2026 na kutarajiwa kuhitimishwa tarehe 8 Agosti,2026 katika viwanja vya Ipuli mkoani Tabora.

Baadhi ya viongozi waliotembelea bandani pamoja na mkuu wa wilaya ya Uyui Mhe. Mohamed Mtulyakwaku, mkuu wa wilaya ya Buhigwe Mhe. Kanali Michael Ngayalina, katibu tawala wa mkoa wa Tabora Dkt. John Rogath Mboya na kamishna wa ardhi mkoa wa Tabora Bw. Tumaini Gwakisa.

Viongozi hawa wamepewa maelezo kuhusu GPSA na utekelezaji wa majukumu yake na kaimu meneja GPSA Tabora Bw. Stephen Muro.

Bw. Muro anawakaribisha viongozi na wananchi wote kutembelea katika banda la GPSA wakati wa maonesho ya wakulima, wavuvi na wafugaji (Nanenane) ili kupata elimu kuhusu huduma mbalimbali za GPSA ambazo zinatolewa kwa njia ya kielektroniki ya GIMIS.

Kaulimbiu ya mwaka huu 2026 ya Nanenane ni “Tambua Soko;Ongeza Tija Kutekeleza Dira 2050”.

TAARIFA KWA UMMA
03/08/2026

TAARIFA KWA UMMA

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Bw. Peter Mayila akitoa maelezo kuhusu majukumu ya GPSA kwa mgeni rasmi ...
31/07/2026

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Bw. Peter Mayila akitoa maelezo kuhusu majukumu ya GPSA kwa mgeni rasmi Dkt. Toba A. Nguvila (Katibu Tawala Mkoa wa Arusha) aliyemwakilisha Waziri wa Fedha Mhe. Balozi Khamis M***a Omar (Mb) alipotembelea banda la GPSA wakati wa ufunguzi wa kongamano la 10 la Ununuzi wa Umma siku ya Jumatano tarehe 29/07/2026 katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.

Kongamano hili limefanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 29-31 Julai, 2026 ambapo kongamano hili la mwaka limekutanisha wataalamu wa ununuzi, maafisa masuuuli, wazabuni, na viongozi mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi ili kubadilishana uzoefu, kujadili mafanikio, changamoto, na uelekeo wa sekta ya ununuzi wa umma.

Kaulimbiu ya kongamano hili kwa mwaka 2026 ni “Kutumia Fursa ya Ununuzi wa Umma Kidijitali Kufikia Uchumi Endelevu, Jumuishi na Shindani Kuelekea Dira ya Tanzania 2050”

Address

Off Nyerere Road, Keko Mwanga
Dar Es Salaam
9150

Opening Hours

Monday 08:00 - 15:30
Tuesday 08:00 - 15:30
Wednesday 08:00 - 15:30
Thursday 08:00 - 15:30
Friday 08:00 - 15:30

Telephone

+255222866071

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GPSA Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to GPSA Tanzania:

Shortcuts

Share