Tanzania Communications Regulatory Authority

Tanzania Communications Regulatory Authority kuwa Salama Mtandaoni!! It merged the former Tanzania Communications Commission and the Tanzania Broadcasting Commission.

The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA), established by the TCRA Act no. 12 of 2003 is an independent Authority for the Postal, Broadcasting and Electronic communications industries in the United Republic of Tanzania. Its role include licensing and regulating the Postal services, Broadcasting services and Electronic Communications sectors in the United Republic of Tanzania.

Tumejizatiti kukuhudumia masaa 24, siku saba za wikiπŸ‘Œ. nirahisisana kuwasiliana na dawati la huduma kwa wateja la TCRA; ...
03/09/2026

Tumejizatiti kukuhudumia masaa 24, siku saba za wikiπŸ‘Œ. nirahisisana kuwasiliana na dawati la huduma kwa wateja la TCRA; piga simu bila malipo kupitia namba 0800008272, au tuma baruapepe kwenda [email protected].

πŸ“ŒKaribu TukuhudumieπŸ“Œ

02/09/2026

Kutoka darasani hadi kutatua changamoto za wakulima mashambani! πŸš€

Rahmani Hamisi Mbahe, Mbunifu wa TEHAMA kutoka chuo cha IAA, anatumia teknolojia za mawasiliano kuongeza ufanisi kwenye kilimo cha umwagiliaji. Hili ndilo lengo kuu la matumizi sahihi ya mawasiliano kuchochea maendeleo!

Nawe unaweza kuwa sehemu ya mabadiliko haya kupitia Digital Clubs.
🌐 Taarifa zaidi: www.digitalclubs.tz au www.tcra.go.tz au Piga simu namba 0800 008 272 (Bure).

02/09/2026

01/09/2026

Usikose kufuatilia Kipindi Maalum cha RedioπŸŽ™οΈ

πŸ“» Kupitia redio Wapo FM, 98.1 MHz

πŸ“ Dar es Salaam

πŸ“Œ Mada: FURSA SANA

Katika kipindi hiki tutajadili namna teknolojia na huduma za kidijitali zinavyoweza kuwa chanzo cha fursa mpya kwa wananchi, vijana, wajasiriamali na jamii kwa ujumla.

πŸ—“οΈ Tarehe: 1 Septemba 2026
πŸ•— Saa: 6:30 Mchana

Jiunge nasi kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya mtandao, ubunifu wa kidijitali na namna ya kunufaika na fursa zinazopatikana katika uchumi wa kidijitali.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

01/09/2026

Usikose kufuatilia Kipindi Maalum cha RedioπŸŽ™οΈ

πŸ“» Kupitia Radio Maria 103.7 FM

πŸ“ Dar es Salaam

πŸ“Œ Mada: FURSA SANA

Katika kipindi hiki tutajadili namna teknolojia na huduma za kidijitali zinavyoweza kuwa chanzo cha fursa mpya kwa wananchi, vijana, wajasiriamali na jamii kwa ujumla.

πŸ—“οΈ Tarehe: 1 Septemba 2026
πŸ•— Saa: 5:10 Asubuhi

Jiunge nasi kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya mtandao, ubunifu wa kidijitali na namna ya kunufaika na fursa zinazopatikana katika uchumi wa kidijitali.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

πŸ“Œ
01/09/2026

πŸ“Œ

πŸ“Œ Taarifa kwa Umma: MWALIKO WA MAOMBI MAPYA NA UPANDISHAJI MADARAJA YA LESENI ZA MAUDHUI YA REDIO ZA FM
29/08/2026

πŸ“Œ Taarifa kwa Umma: MWALIKO WA MAOMBI MAPYA NA UPANDISHAJI MADARAJA YA LESENI ZA MAUDHUI YA REDIO ZA FM

Salamu za Pongezi
29/08/2026

Salamu za Pongezi

27/08/2026

Usikose kufuatilia Kipindi Maalum cha RedioπŸŽ™οΈ

πŸ“» Kupitia Mlimani Radio 106.5 FM

πŸ“ Dar es Salaam

πŸ“Œ Mada: FURSA SANA

Katika kipindi hiki tutajadili namna teknolojia na huduma za kidijitali zinavyoweza kuwa chanzo cha fursa mpya kwa wananchi, vijana, wajasiriamali na jamii kwa ujumla.

πŸ—“οΈ Tarehe: 27 Agosti 2026
πŸ•— Saa: 8:00 Mchana

Jiunge nasi kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya mtandao, ubunifu wa kidijitali na namna ya kunufaika na fursa zinazopatikana katika uchumi wa kidijitali.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

27/08/2026

Usikose kufuatilia Kipindi Maalum cha RedioπŸŽ™οΈ

πŸ“» Kupitia City FM 91.7 FM

πŸ“ Dar es Salaam

πŸ“Œ Mada: FURSA SANA

Katika kipindi hiki tutajadili namna teknolojia na huduma za kidijitali zinavyoweza kuwa chanzo cha fursa mpya kwa wananchi, vijana, wajasiriamali na jamii kwa ujumla.

πŸ—“οΈ Tarehe: 27 Agosti 2026
πŸ•— Saa: 4:30 Asubuhi

Jiunge nasi kupata elimu kuhusu matumizi sahihi ya mtandao, ubunifu wa kidijitali na namna ya kunufaika na fursa zinazopatikana katika uchumi wa kidijitali.

πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Address

Mawasiliano Towers, 20 Sam Nujoma Road
Dar Es Salaam
14414

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00
Tuesday 08:00 - 18:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 18:00
Friday 08:00 - 18:00

Telephone

+255800008272

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Communications Regulatory Authority posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania Communications Regulatory Authority:

Shortcuts

Share