A7 Entertainment

A7 Entertainment it"s all about entertainment, sports & laughing note some joke may be of adult nature don"t if your sometimes easily offended.

Hi guys karibuni dukani kwetu Afroswagga Store mjipatie mambo mazuri kwa bei nafuu, nguo zipo za size zote, karibuni san...
16/01/2021

Hi guys karibuni dukani kwetu Afroswagga Store mjipatie mambo mazuri kwa bei nafuu, nguo zipo za size zote, karibuni sana au
Place Your Order Through 0765 768 667

sms kupitia link hapo chini

https://mssg.me/afroswaggastore

Sote tunapenda kuwa na ngozi nyororo yenye mvuto, lakini wengi wetu ni kitu gani sahihi cha kufanya ili kuweza kupata mu...
11/02/2020

Sote tunapenda kuwa na ngozi nyororo yenye mvuto, lakini wengi wetu ni kitu gani sahihi cha kufanya ili kuweza kupata muonekano huo, leo BintUrembo amekuletea hatua tatu rahisi unazoweza kufanya ili kuweza kung’arisha uso wako

Ingia Hapa Kusoma Zaidi https://afroswagga.com/skin-care/hatua-3-rahisi-za-kungarisha-uso/

  Our Favorite Hijabista Rocked A Lv Multi Pochette Bag Yenye Thamani Ya TZS - 3,786,268 Na LV Belt Yenye Thamani Ya 1,1...
03/02/2020

Our Favorite Hijabista Rocked A Lv Multi Pochette Bag Yenye Thamani Ya TZS - 3,786,268 Na LV Belt Yenye Thamani Ya 1,131,263 ➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Guys We Were Today Years Old Kujua Thamani Ya Hizi Belt As We All Know Mwenge Haizidi 10k Kabla Ya Kulialia Anyways Is It A Chop Or Drop?

Soma zaidi https://afroswagga.com/mitindo/fatema-dewji-rocking-louis-vuitton-multi-pochette-bag-yenye-thamani-ya-tzs-3786268/ Kujua namna Ya kuzipata
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

  Baada ya kipindi kirefu wig’s kuonekana katika beauty regime ya watu wengi sasa zimeonekana kukubalika kwa kasi na kuf...
12/11/2019

Baada ya kipindi kirefu wig’s kuonekana katika beauty regime ya watu wengi sasa zimeonekana kukubalika kwa kasi na kufanikiwa kuingia katika mainstream popularity in beauty community, asante kwa watu maarufu ambao wameonekana kuzivalia kwa kiasi kikubwa.
-----------------------------------------------------------------------------------
Ikiwa zinasaidia ku-save muda lakini pia pale ambapo unapata mtoko halafu nywele hazipo vizuri ni msaada mzuri sana, lakini wig zinapendeza k**a zikiwa installed vyema, k**a itakuwa installed vibaya hazikai vyema na k**a mtu maarufu definitely zinatia aibu, kwa sasa tuna wig experts wengi sana ikiwa wengi wametumia muda wao kujifunza namna ya kuzi-install vizuri lakini pia huwa tuna-notice makosa mbalimbali ambayo yanafanyika na haya ni baadhi yao
--------------------------------------------------------------------------------
Soma zaidi hapa http://afroswagga.com/urembo/makosa-4-ya-wigs-ambayo-hufanyika-na-namna-ya-kuyatatua/

  Siku chache zilizopita mwanadada aliweka wazi kwamba moja kati ya vitu anavyofanya ilikupata ngozi nzuri ni kuogea maz...
31/10/2019

Siku chache zilizopita mwanadada aliweka wazi kwamba moja kati ya vitu anavyofanya ilikupata ngozi nzuri ni kuogea maziwa, na watu wengi walishikwa na butwaa kwamba unaogeaje maziwa?

Tumeona sio mbaya k**a tukiwaletea namna ambavyo unaweza kuogoea maziwa na kupata ngozi nzuri,

Kwanini Maziwa?

Maziwa ya Vitamin A, B, B6, B12, Protein, Potassium , Magnesium , Calcium na nyingine nyingi ambazo zote hizi zinafaida mbalimbali katika ngozi kiwepo
----------------------------------------------------------------------------------------
Kupunguza makali ya kuzeeka
kufanya ngozi kuwa na unyevu
Kulinda ngozi kutokana na hurabifu wa jua
Kuondoa mikunjo ya ngozi
Husaidia kuondoa weusi na kung’aza ngozi
----------------------------------------------------------------------------------------
Ingia hapa kusoma zaidi http://afroswagga.com/urembo/namna-ya-kupata-ngozi-nyororo-kwa-kuogea-maziwa/

  : Jinsi Ya Kuondokana Na Whiteheads ” Vipele Vyeupe Puani “-----------------------------------------------------------...
10/09/2019

: Jinsi Ya Kuondokana Na Whiteheads ” Vipele Vyeupe Puani “
----------------------------------------------------------------------------------
ivo vitu vyeupe ni Ngozi iloyokufa “Dead skins” ambazo zikikutana na hewa sinafanya k**a upele fulani hivi au tunaita whiteheads.
Whiteheads ” vichwa vyeupe” ni aina ya chunusi na huwatokea zaidi wenye ngozi ya mafuta, wanawake na wanaume, wazee kwa vijana.
----------------------------------------------------------------------------------
Ingia hapa kusoma njia tofauti togfauti za kuondokana navyo

http://afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kuondokana-na-whiteheads-vipele-vyeupe-puani/
----------------------------------------------------------------------------------

  |➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖Nini nifanye baada ya kupata vipele?➡️ Mara nyingi vipele hivi hupotea vyenyewe baada ya muda, Ila kuna vi...
05/09/2019

|
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Nini nifanye baada ya kupata vipele?➡️ Mara nyingi vipele hivi hupotea vyenyewe baada ya muda, Ila kuna vingine huwepo kwa muda mrefu na hata kuanza kuuma na kutengeneza usaha. Baadhi ya njia husaidia ni k**a:➡️ Kutumia kitambaa safi na maji ya vuguvugu kukanda sehemu iliyo na tatizo hilo. .➡️Matumizi ya asali na maji ya vuguvugu pia husaidia kupunguza vimelea vya bakteria wowote katika eneo hilo na hupunguza vipele hivyo➡️ Matumizi ya yai. Yai linaprotini ziitwazo albumin ambazo husaidia sana ngozi.kwahyo husaidia kuponesha ngozi yenye vidonda au vipele kwa haraka.unatumia sehemu ya nje (nyeupe) ya yai kupaka sehemu husika unaacha inakaukia hapo halafu unabandua,inatoka pamoja na kipele hasa kilichoanza kutunga usaha.
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Ingia hapa kusoma zaidi http://afroswagga.com/urembo/jinsi-ya-kuondokana-na-vipele-baada-ya-kunyoa-sehemu-za-siri/
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖

Namna Ya Kuondoa Weusi Mwilini Kwa Kutumia Scrub Ya Kahawa -------------------------------------------------------------...
03/09/2019

Namna Ya Kuondoa Weusi Mwilini Kwa Kutumia Scrub Ya Kahawa
---------------------------------------------------------------------------------------
Watu wengi wana uchafu kwenye ngozi hata wakioga bila kujua sababu ni nini, wengine wanakuwa na weusi flani hata k**a ni mweupe. Utasikia mtu anasema flani haogi vizuri, siyo kweli ni ngozi inakuwa imechoka.
Scrub nzuri ya kuondoa weusi huo ni sukari na mafuta ya mzaituni ambayo inapakwa kisha unafanyia masaji mwili mzima kuondoa uchafu wa ngozi.
-------------------------------------------------------------------------------------
Jinsi ya kuandaa

Chukua kahawa vijiko viwili vikubwa,
kijiko 1 kikubwa cha sukari
mafuta ya mzaituni vijiko vinne.
Changanya vyote kwa pamoja upate mchanganyiko. Baada ya hapo, chukua mchanganyiko huo paka mwilini mwako, ufanyie mwili masaji k**a unayesugua sehemu hasa sehemu nyeusi, zoezi hilo lifanye wakati unaoga.
Nikisema sehemu nyeusi namaanisha kwenye maungio, makwapani na shingoni, hizi ni sehemu ambazo weusi wake huwa unazidi hivyo kwa kutumia mchanganyiko huu unaweza kurudisha rangi asili ya ngozi yako.
Kwa wanaotaka kung’arisha miguu scrub hii pia ni nzuri, inafaa kwa asilimia kubwa. Scrub hii inafaa kwa sehemu yote ya mwili isipokuwa usoni tu.
----------------------------------------------------------------------------------------
Ingia hapa kusoma zaidi http://afroswagga.com/urembo/namna-ya-kuondoa-weusi-mwilini-kwa-kutumia-scrub-ya-kahawa/

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when A7 Entertainment posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category