06/04/2025
Jinsi unavyoweza kufanya chaguzi sahihi katika ununuzi wa Nyumba 📞 0767502046
WhatsApp Group : https://chat.whatsapp.com/JeOb2bOrIcD6Np8i4kLkQ9
Ili Kuipa thamani pesa yako katika kununua kilicho Bora na sahihi kwako ni lazima kuzingatia yafuatayo kabla hujanhnua Nyumba
1. Kiwanja
2. Nature ya Kiwanja
3. Ramani
4. Materials ya Ujenzi
5. Muda
6. Miundombinu
7. Huduma za kijamii
8. BEI HALISI YA MMILIKI ( siyo ya DALALI)
□ Ili kuvipata hivyo kwa usahihi na uhalali wake karibu kwaajili ya Muongozo SAHIHI
CALL 📞 0767 502046
LOC : DAR ES SALAAM