Tanzania Railways Corporation

Tanzania Railways Corporation Tanzania Railways Corporation(TRC) is a state corporation created with the core mandate of providing Ukurasa rasmi wa Facebook wa Shirika la Reli Tanzania.
(1)

Shirika linalotoa huduma ya Usafiri wa abiria na mizigo na kusimamia miundombinu ya Reli Tanzania.

12/07/2026
11/07/2026
09/07/2026

Ukiona ujumbe k**a "Scan to share for feedback" katika kituo cha SGR au ndani ya treni ya SGR, unamaanisha:
Changanua (scan) msimbo wa QR kwa kutumia kamera ya simu yako.
Msimbo huo utakuelekeza kwenye fomu ya maoni inayosimamiwa na TRC (Shirika la Reli Tanzania).
Unaweza kutoa maoni yako, kutathmini huduma uliyoipata wakati wa safari, au kuripoti changamoto ili kusaidia kuboresha huduma za SGR.
------------------------------------------------------------------------
If you saw a message like "Scan to share for feedback" at an SGR station or on an SGR train, it usually means:
Scan the QR code with your phone's camera.

It will open a feedback form managed by TRC.
You can submit comments, rate your travel experience, or report issues to help improve the service. In kiswahili please.

MIUNDOMBINU YA RELI NI MALI YA TAIFA, ILINDWE; CPA, DKT. SULUOMamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini (SUMATRA), imetoa wito...
08/07/2026

MIUNDOMBINU YA RELI NI MALI YA TAIFA, ILINDWE; CPA, DKT. SULUO

Mamlaka ya udhibiti Usafiri Ardhini (SUMATRA), imetoa wito kwa wananchi kushiriki kikamilifu katika kulinda na kuitunza miundombinu ya reli, ikieleza kuwa ni rasilimali ya Taifa yenye mchango mkubwa katika maendeleo ya uchumi na utoaji wa huduma salama na endelevu za usafiri nchini.

Wito huo umetolewa Julai 08, 2026 na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) CPA, Dkt. Habibu Suluo, alipotembelea banda la Shirika la Reli Tanzania (TRC) katika Maonesho ya 50 ya Biashara ya Kimataifa ya (SABASABA) yanayoendelea jijini Dar es Salaam, ambapo amepongeza maendeleo ya huduma za reli na kuhimiza kuendelea kwa utoaji wa huduma zenye ufanisi.

Aidha, CPA, Dkt. Suluo, amesisitiza umuhimu wa watumishi wa TRC kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa umakini, weledi na ufanisi ili kudumisha viwango vya huduma vinavyotarajiwa kwa wananchi.

“Miundombinu hii ni mali ya Watanzania wote, kuitunza ni wajibu wetu sote ili iendelee kuhudumia kizazi cha sasa na kijacho,” alisisitiza CPA,Dkt. Suluo.

Address

Railway Street
Dar Es Salaam
P.OBOX76959

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30
Saturday 08:00 - 12:30

Telephone

+255800110042

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Railways Corporation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania Railways Corporation:

Shortcuts

Share