ADC Dira ya Mabadiliko

MGOMBEA URAISI KUPITIA CHAMA CHA ADC HAMAD RASHID MOHAMED AKIWA KATIKA ZOEZI LA KUPIGA KURA SHULE YA SEKONDARI FIDEL CAS...
29/10/2025

MGOMBEA URAISI KUPITIA CHAMA CHA ADC HAMAD RASHID MOHAMED AKIWA KATIKA ZOEZI LA KUPIGA KURA SHULE YA SEKONDARI FIDEL CASTRO PEMBA

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wanawake, vijana na wazee KATIKA Jimbo la BUBUB...
06/10/2025

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wanawake, vijana na wazee KATIKA Jimbo la BUBUBU, Mtaa wa Kijichi magengeni

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na watu wenye ulemavu akiwa KATIKA ofisi za chama ...
06/10/2025

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na watu wenye ulemavu akiwa KATIKA ofisi za chama zilizopo kisiwa Cha Unguja

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wanawake, vijana na wazee KATIKA Jimbo la kojan...
06/10/2025

MGOMBEA URAISI kupitia Chama Cha ADC Hamad Rashid Mohamed akizungumza na wanawake, vijana na wazee KATIKA Jimbo la kojani mkoa wa kaskazini Pemba

Mgombea urais kupitia chama cha ADC, Nd. Hamad Mohamed Rashid, alipata fursa ya kumtembelea na kujumuika na mke wa mareh...
30/09/2025

Mgombea urais kupitia chama cha ADC, Nd. Hamad Mohamed Rashid, alipata fursa ya kumtembelea na kujumuika na mke wa marehemu Abbas Ali Hassan Mwinyi. Ziara hii imelenga kuendeleza mshikamano wa kifamilia, heshima na mshikamano wa kijamii.

25/09/2025

MGOMBEA URAISI KUPITIA ADC AAHIDI KUBORESHA KILIMO KATIKA UONGOZI WAKE

Mheshimiwa Hamad Rashid Mohamed mgombea kiti Cha Rais wa SMZ kupitia chama Cha ADC - Dira ya Mabadiliko 2025 - 2030
19/09/2025

Mheshimiwa Hamad Rashid Mohamed mgombea kiti Cha Rais wa SMZ kupitia chama Cha ADC - Dira ya Mabadiliko 2025 - 2030

18/08/2025

Mwenyekiti Taifa wa ADC Mhe. Shabani Haji Itutu akizungumza katika mafunzo kuhusu Sheria ya Gharama za Uchaguzi kwa Viongozi wa kitaifa wa Vyama vya Siasa leo katika Ukumbi wa JNICC jijini Dar es Salaam.

14/08/2025

Vipaumbele vyetu Wana ADC;
1. Elimu Bure kutoa chekechea hadi chuo kikuu ikiambatana na kufuta madeni ya wahitimu wa vyuo vikuu wanayokatwa kutokana na mikopo ya elimu ya juu kwani Taifa linategemea taaluma zao katika kujenga nchi.
2. Afya bure
3. Kuunganisha umeme na maji Bure n.k
4. Child support grants (Fao la familia)

14/08/2025

Mgombea kiti cha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Wilson Elias Mulumbe na Makamu wa Rais Mhe. Shoka Khamis Juma kupitia chama chetu cha ADC amechukua fomu ya kuomba ridhaa hiyo leo ofisi za Makao Makuu ya Tume INEC Njedengwa jijini Dodoma.

Address

Buguruni ADC HQ
Dar Es Salaam
17

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 17:00

Telephone

+255717608080

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ADC posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to ADC:

Share