19/08/2026
CMT Yakutana na TMX
Tarehe 18 Agosti 2026, Baraza la Masoko ya Mitaji (CMT) lilikutana na Soko la Bidhaa Tanzania (TMX) kujadili taratibu za uendeshaji za TMX na misingi ya utatuzi wa migogoro katika masoko ya Tanzania.