20/08/2026
ZIMEBAKI SIKU 2 TU! ⏳⚡
Chama Cha Mapinduzi (W) Temeke kinakualika katika tukio la kihistoria la Uzinduzi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP).
Huu ni ushuhuda wa kazi kubwa na ya mfano inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi Mahiri wa Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.
🗓 Tarehe: Jumamosi, 22 Agosti 2026
⏰ Muda: Saa 2:00 Asubuhi
📍 Mahali: Rufiji - Pwani
Tukutane Rufiji kushuhudia hatua hii kubwa ya maendeleo na matokeo ya Kazi na Utu!