Tanzania Export Processing Zone Authority - EPZA

Tanzania Export Processing Zone Authority - EPZA The Export Processing Zones Authority (EPZA) Tanzania gives you the greatest opportunity to realise your entrepreneurial ambitions. We are an investment pr

EPZA wishes you Happy Workers Day 2021
01/05/2021

EPZA wishes you Happy Workers Day 2021

Waziri wa Viwanda na Biashara alipotembelea kiwanda kilichopewa leseni na EPZA,mabibo Dsm
30/04/2021

Waziri wa Viwanda na Biashara alipotembelea kiwanda kilichopewa leseni na EPZA,mabibo Dsm

Welcome to EPZA our New Director General Mr.Mathew Mnali,handing over ceremony at EPZA
30/01/2021

Welcome to EPZA our New Director General Mr.Mathew Mnali,handing over ceremony at EPZA

Team ya Wizara ya Viwanda ikiongozwa na Mh Waziri, Naibu Waziri na Naibu Katibu Mkuu watembelea EPZA
12/01/2021

Team ya Wizara ya Viwanda ikiongozwa na Mh Waziri, Naibu Waziri na Naibu Katibu Mkuu watembelea EPZA

EPZA ikiendelea kuhamasisha Uwekezaji Simiyu Nanenane 2020
14/08/2020

EPZA ikiendelea kuhamasisha Uwekezaji Simiyu Nanenane 2020

17/10/2019

OUR DIRECTOR GENERAL ( DG) JOSEPH SIMBAKARIA discussing about SADC

Mamlaka ya maeneo maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje inakukaribisha kutembelea banda lake lililopo ndani ya SABA SABA ...
05/07/2019

Mamlaka ya maeneo maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje inakukaribisha kutembelea banda lake lililopo ndani ya SABA SABA barabara ya pili kutoka lango kuu.

Mamlaka ya maeneo maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje inakukaribisha kutembelea banda lake lililopo ndani ya SABA SABA ...
02/07/2019

Mamlaka ya maeneo maalum ya uwekezaji kwa mauzo ya nje inakukaribisha kutembelea banda lake lililopo ndani ya SABA SABA barabara ya pili kutoka langu kuu. @ SabaSaba Grounds

27/05/2019

Tanzania TOOKU Garments Ltd watengenezaji wa jeans aina za na wapo ndani ya Benjamin William Mkapa Mabibo External

Pia ni kiwanda pekee kinachozalisha nguo 1000 kwa siku na kusafilishwa nje za nchi kwa ajili ya kuuzwa.

23/05/2019

Mkurugenzi Mkuu wa (EPZA) Kanali Mstaafu JOSEPH SIMBAKALIA akitoa stori fupi ya mfumo wa uchumi wa viwanda na historia yake.

Mkurugenzi wa Uwezeshaji Uwekezaji wa EPZA JAMES MAZIKU akishiriki kikamilifu katika kongamano la biashara la Tanganyika...
09/05/2019

Mkurugenzi wa Uwezeshaji Uwekezaji wa EPZA JAMES MAZIKU akishiriki kikamilifu katika kongamano la biashara la Tanganyika Business Forum mkoani KIGOMA.

Lengo la kongamano ni kuhamasisha ukuaji wa biashara kati ya mkoa wa kigoma na nchi jirani zinazopakana kupitia ziwa tanganyika,kama vile Congo,Burundi,Rwanda na Zambia.

EPZA Leo iliwaalika waandishi wa habari wa kituo cha Chanel 10 wanaotangaza Baragumu kujua zaidi nini haswa maana ya uch...
03/05/2019

EPZA Leo iliwaalika waandishi wa habari wa kituo cha Chanel 10 wanaotangaza Baragumu kujua zaidi nini haswa maana ya uchumi wa viwanda.

Address

Dar Es Salam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tanzania Export Processing Zone Authority - EPZA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Tanzania Export Processing Zone Authority - EPZA:

Share