Kombora chepa

Kombora chepa Siasa ILI KUWE NA UTAWALA NILAZIMA PAWEPO WANANCHI NA WANANCHI NILAZIMA WAPEWE UHURU WA KUAMUA JAMBO LOLOTE

WAZIMA WOTE
26/12/2025

WAZIMA WOTE

Kiongozi wa Chama cha , Ndugu   anawatakia Wakristo na Watanzania wote kwa ujumla heri za Sikukuu ya Krismasi.
25/12/2025

Kiongozi wa Chama cha , Ndugu anawatakia Wakristo na Watanzania wote kwa ujumla heri za Sikukuu ya Krismasi.

Mwenyekiti wa Chama cha , Ndugu   anawatakia Wakristo na Watanzania wote kwa ujumla heri za Sikukuu ya Krismasi.
25/12/2025

Mwenyekiti wa Chama cha , Ndugu anawatakia Wakristo na Watanzania wote kwa ujumla heri za Sikukuu ya Krismasi.

24/12/2025
JAMANI
24/12/2025

JAMANI

Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamefurika katika maduka ya Mliman City mkoani Dar es Salaam kufuata mahitaji kwa kile w...
08/12/2025

Wakazi wa Mkoa wa Dar es Salaam wamefurika katika maduka ya Mliman City mkoani Dar es Salaam kufuata mahitaji kwa kile walichoeleza ni hofu ya maandamano yanayoratibiwa mtandaoni kufanyika Desemba 9 mwaka huu.

Katika duka la 'Shoppers' Mwandishi wa habari hii ameshuhudia wananchi wakinunua mahitaji kwa wingi.

Baadhi ya mahitaji hayo ni pamoja na mikate, sukari, mchele, maharage, unga wa ngano, tambi, maziwa, na soseji.

Mwajuma Said aliyekutwa mahali hapo amesema ameamua kuchukua uamuzi wa kuchukua mahitaji leo ili yakitokea maandamano k**a kipindi kilichopita asipate shida ya chakula.

"Heri nusu shari kuliko shari kamili maana huwezi jua hiyo siku itakuwaje tahadhari ni bora kuliko kinga" amesema Mwajuma

Mwingine aliyekutwa hapo, Jabir Amir amesema hofu ya kufungiwa ndani ndio imemfanya aje kuchukua mahitaji leo.

Amesema maandamano yaliyopita alipata tabu sana kwa sababu zuio la watu kutoka nje lilimkuta wakati akiwa hana chakula ndani.

"Safari hii sitaki tena kubahatisha kwa sababu taarifa ya kwamba kuna maandamano ninayo". amesema

Imeandikwa na Halfan Chusi, Dar es Salaam

#

  imeeleza kuwa imepokea na kuyazingatia matamko ya umma yaliyotolewa nyakati mbalimbali na Wadau wa maendeleo na Nchi R...
06/12/2025


imeeleza kuwa imepokea na kuyazingatia matamko ya umma yaliyotolewa nyakati mbalimbali na Wadau wa maendeleo na Nchi Rafiki za Ubelgiji, Kanada, Denmark, Ujumbe wa Umoja wa Ulaya, Finland, Ufaransa, Ghana, Ujerumani, Ireland, Italia, Uholanzi, Norway, Poland, Slovakia, Hispania, Uswizi, Sweden, Ufalme wa Muungano (Uingereza), Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa, Marekani na Taasisi ya Thabo Mbeki kuhusu Tanzania na matukio yaliyojitokeza siku ya uchaguzi tarehe 29 Oktoba 2025.

Taarifa iliyotolewa na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini imeeleza kuwa Tanzania imepokea kwa wasiwasi hasa maudhui ya matamko haya, licha ya mazungumzo ya wazi yaliyofanyika kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wajumbe wa Jumuiya ya Kidiplomasia waliowekwa Nchini Tanzania yaliyofanyika tarehe 28 Novemba 2025.

Imeeleza zaidi kuwa pamoja na kwamba Tanzania inatambua mchango wa Jumuiya ya kimataifa katika kuimarisha demokrasia na maendeleo ya kijamii na kisiasa Nchini, ni muhimu pia kutambua kuanzishwa kwa Tume ya Uchunguzi ambayo itachunguza matukio ya vurugu za baada ya uchaguzi na kutoa ripoti.

Uchunguzi na ripoti hiyo vitatoa uelewa juu ya matukio yaliyotokea na kuwa msingi wa ushirikiano wa kujenga mustakabali bora na kwamba Tanzania itaendelea kujikita katika ushirikiano wa kimataifa kwa ajili ya amani na maendeleo na inatoa wito kwa Wadau wote kuruhusu mifumo ya kitaifa kutekeleza hatua na maamuzi yaliyowekwa na Serikali.

Aidha, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuihakikishia jumuiya ya kimataifa na Wadau wa maendeleo kuhusu utayari na dhamira yake ya kuendelea kushirikiana katika masuala yote ya maslahi ya pande zote k**a Washirika wenzao.

ZASIKU NYINGI
06/12/2025

ZASIKU NYINGI

ZASIKU NYINGINE TENA
27/10/2025

ZASIKU NYINGINE TENA

Address

Dodoma Outlying

Telephone

+255656107575

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kombora chepa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share