Mzee wa Jambia

Mzee wa Jambia The Master

Uto
23/11/2023

Uto

๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ
22/11/2023

๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ

Pengine yatabaki kuwa maoni yangu binafsi tu ila kwa MWENENDO WA SIMBA HIVI SASA ni wazi viongozi husika hawatilii maana...
21/11/2023

Pengine yatabaki kuwa maoni yangu binafsi tu ila kwa MWENENDO WA SIMBA HIVI SASA ni wazi viongozi husika hawatilii maanani maoni ya Mashabiki wao.

Ni maoni yangu binafsi ila Fans need essentials, mashabiki wanamtaka kocha mkuu, kocha wa viungo na timu imejipanga vipi kuelekea mchezo ujao.

My Opinion, THEY PROVE POLITICS!

โ€œMkutano wa leo unahusisha mashabiki wa Simba maarufu, wenye mvuto kwa mashabiki wenzao. Wapo wengi lakini tumechagua wa...
21/11/2023

โ€œMkutano wa leo unahusisha mashabiki wa Simba maarufu, wenye mvuto kwa mashabiki wenzao. Wapo wengi lakini tumechagua wacheche. Kubwa ni kuhusu mchezo wa tarehe 25 dhidi ya Asec Mimosas.โ€

โ€œMchezo huu unahitaji zaidi mashabiki kuja uwanjani, tunataka kuendeleza utamaduni wa kujaza uwanja. Tumewachukua mashabiki waje kuwambia mashabiki wenzao kuja uwanjani. Hivi karibuni tumepata tuzo ya mashabiki bora Afrika k**a klabu tunataka kuwashukuru kwa kazi kubwa.โ€- Ahmed Ally.

๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธKocha wa Viungo wa Simba Akiwa kwenye majukumu ya kila siku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Follow ๐Ÿ‘‰
21/11/2023

๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ๐Ÿ–๏ธ
Kocha wa Viungo wa Simba Akiwa kwenye majukumu ya kila siku ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Follow ๐Ÿ‘‰

kula chuma hichooo ukisikiaaa Paah mwamba yuleee Uarabuniii
21/11/2023

kula chuma hichooo ukisikiaaa Paah mwamba yuleee Uarabuniii

Mwanasimba siku chache zimebaki kabla ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Nunua tiketi yako sasa.
20/11/2023

Mwanasimba siku chache zimebaki kabla ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Nunua tiketi yako sasa.

๐ŸŸ๏ธMICHEZO__Klabu ya Azam FC๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imemuongeza mkataba nahodha wao Sospeter Bajana mpaka mwaka 2026.๐ŸŸ๏ธ''Mkata umeme halisi na...
21/06/2023

๐ŸŸ๏ธMICHEZO__Klabu ya Azam FC๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ imemuongeza mkataba nahodha wao Sospeter Bajana mpaka mwaka 2026.

๐ŸŸ๏ธ''Mkata umeme halisi na nahodha wetu Sospeter bajana, bado ataendelea kusalia kwenye viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2026.''




Address

S. L. P 236
Dodoma
199807

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mzee wa Jambia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mzee wa Jambia:

Share

Category