Msuri Automotive

Msuri Automotive Kupitia ukurasa huu utajipatia kila aina ya gari hapa tanzania na nje ya nchi Kwa uaminifu mkubwa maalum kwa jimbo la chemba

K**a kweli wewe ni mhenga taja majina ya hii hela enzi hizo..!!!!
23/02/2026

K**a kweli wewe ni mhenga taja majina ya hii hela enzi hizo..!!!!

HAYA MWENDO WA NGIRI**MKIA JUUUU...!!!!WAHI CHAPTOYOTA RUMIONNAMBA  DWMBODY SAFIGEAR BOX SAFIA/C SAFIENGINE HAINA KIPENG...
14/12/2025

HAYA MWENDO WA NGIRI*
*MKIA JUUUU...!!!!

WAHI CHAP

TOYOTA RUMION
NAMBA DWM
BODY SAFI
GEAR BOX SAFI
A/C SAFI

ENGINE HAINA KIPENGELE CHOCHOTE GARI IMETUNZWA

SAFARI NI POPOTE

INATUPWA
BEI 15.5M
MAONGEZI KWENYE GARI
LOCATION DODOMA

Wahi gari ya hela hii. !!

Mlengaji k**a kijicho chongo usije na ofa zako za nyama choma kaa kuleee..!!!!!

Njoo na box 3 za wazee..!!

Nicheki Whatsapp 0784178279

23/10/2025

Mambo mengine bhana ni kujitakia tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

21/10/2025
K**a hapo kwenye picha hujaiona SADDIQ LINE na ZAFANANA basi wewe sio mhenga Enzi hizo ni Isuzu na Nissan diesel na scan...
21/10/2025

K**a hapo kwenye picha hujaiona SADDIQ LINE na ZAFANANA basi wewe sio mhenga
Enzi hizo ni Isuzu na Nissan diesel na scania kabla ya kuja hii michina yenu..!🤣🤣
Unakumbuka wapi mhenga??

Usisahau kunifollow

19/10/2025

Land cruiser itaendelea kubwa gari bora zaidi hapa duniani

Weka page yako hapa tukufollow mapema sana
Follow me kwa uhakika kabisa wa kupata kila aina ya gari

18/10/2025

Fahamu gari aina ya land cruiser zilipoanzia hadi kufikia sasa matoleo mengine yakiendelea kutoka

Hizi. chuma hapo miaka ya mbele zitakosa mpinzani

Mali safi kabisaaaaa BRAND NEW  STOCK TOYOTA       HILUXYEAR             2023ENGINE        2.8GD KM.       20,000  ✅PRIC...
17/10/2025

Mali safi kabisaaaaa

BRAND NEW STOCK
TOYOTA HILUX
YEAR 2023
ENGINE 2.8GD
KM. 20,000 ✅
PRICE. 145M

Whatsapp
0784178279

Address

Makole
Dodoma

Telephone

+255712178279

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Msuri Automotive posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Msuri Automotive:

Share