Wizara ya Kilimo

Wizara ya Kilimo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wizara ya Kilimo, Government Organization, Dodoma.

  /2026
22/05/2025


/2026

22/05/2025
Waheshimiwa Wabunge wameshiriki kutoa pongezi kwa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe...
22/05/2025

Waheshimiwa Wabunge wameshiriki kutoa pongezi kwa Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb), Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. David Silinde (Mb) mara baada ya bajeti ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2025/2026 kupitishwa na wabunge tarehe 22 Mei 2025.

Bunge limeidhinisha jumla ya kiasi cha Shilingi 1,242,975,075,000 katika mwaka 2025/2026 ili kuiwezesha Wizara ya Kilimo kuendelea kutekeleza miradi mbalimbali ambayo inalenga kuongeza ukuaji wa Sekta ya Kilimo.

Bajeti itatekeleza vipaumbele ambavyo ni kuongeza tija na uzalishaji; kuchangia kuongeza ajira zenye staha na ushiriki wa vijana na wanawake kwenye kilimo; kuimarisha usalama wa chakula na lishe, kuimarisha upatikanaji wa masoko, mitaji na mauzo ya mazao nje ya nchi; kuimarisha maendeleo ya ushirika pamoja na kuimarisha matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika uendelezaji wa Sekta ya Kilimo.

📌TAARIFA MUHIMU KWA UMMA
22/05/2025

📌TAARIFA MUHIMU KWA UMMA

Address

Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wizara ya Kilimo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Wizara ya Kilimo:

Share