29/08/2026
Mhe. Deogratius John Ndejembi, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Usimamizi ya Ofisi ya Taifa ya Takwimu - NBS, Mhe. Anne Semamba Makinda mara baada ya uapisho wake katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 29 Agosti, 2026.