Ewura Tanzania

Ewura Tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ewura Tanzania, Government Organization, Ewura House, 3 EWURA Street, Tambukareli, Plot no. 3, P. O. Box 2857, Dodoma.

Ukurasa rasmi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), EWURA imeundwa kwa Sheria ya EWURA Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania na marekebisho yake Na.6 ya mwaka 2019.

SERIKALI YAIMARISHA UHIMILIVU BEI ZA MAFUTA NCHINISerikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha bei za m...
02/09/2026

SERIKALI YAIMARISHA UHIMILIVU BEI ZA MAFUTA NCHINI

Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha bei za mafuta nchini zinakuwa himilivu na zinalinda maslahi ya wananchi, ikiwa ni pamoja na kuimarisha usimamizi wa soko na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta kwa wakati katika maeneo mbalimbali nchini.

Hatua hizo zimechangia kupunguza athari za mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la dunia.

Kwa mwezi Septemba 2026, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta hali inayotarajiwa kuleta unafuu kwa watumiaji.

Bei ya petroli imepungua kwa shilingi 102 kwa lita, huku bei ya dizeli ikishuka kwa shilingi 101 kwa lita.

EWURA imeonya kuwa wauzaji wa mafuta watakaokiuka bei elekezi watachukuliwa hatua kali za kisheria, na kwamba wakaguzi wa Mamlaka hiyo tayari wapo kazini katika maeneo mbali mbali kuhakikisha sheria na taratibu zinafuatwa. Watumiaji wa mafuta wameshauriwa kuchukua risiti wanaponunua mafuta, kwani nyaraka hizo hutumika k**a ushahidi kunapokuwa na changamoto yoyote.

SERIKALI YAIMARISHA UHIMILIVU BEI ZA MAFUTA NCHINISerikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha bei za m...
02/09/2026

SERIKALI YAIMARISHA UHIMILIVU BEI ZA MAFUTA NCHINI

Serikali imeendelea kuchukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha bei za mafuta nchini zinakuwa himilivu na zinalinda maslahi ya wananchi, ikiwa ni pamoja na kuimarisha usimamizi wa soko na kuhakikisha upatikanaji wa mafuta kwa wakati katika maeneo mbalimbali nchini.

Hatua hizo zimechangia kupunguza athari za mabadiliko ya bei za mafuta katika soko la dunia.

Kwa mwezi Septemba 2026, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta hali inayotarajiwa kupunguza gharama za maisha kwa wananchi.

Bei ya petroli imepungua kwa shilingi 102 kwa lita, huku bei ya dizeli ikishuka kwa shilingi 101 kwa lita.

EWURA inawakumbusha wauzaji wa mafuta kuuza bidhaa hizo kwa kuzingatia bei zilizotolewa na Mamlaka na watumiaji wa mafuta, kuchukua risiti mara baada ya kujaziwa mafuta katika vyombo vya usafiri, kwani nyaraka hizo hutumika k**a kithibiti kunapokuwa na changamoto yoyote

Taarifa kwa Umma Kuhusu Bei Kikimo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli Zitakazoanza Kutumika Kuanzia Jumatano, tarehe 02 Sept...
01/09/2026

Taarifa kwa Umma Kuhusu Bei Kikimo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli Zitakazoanza Kutumika Kuanzia Jumatano, tarehe 02 Septemba 2026.

Bei za mafuta kwa mwezi septemba zashuka nchini

#

29/08/2026
Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote aliyetajwa hapo juu kwamba asipewe leseni au Kibali c...
20/08/2026

Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote aliyetajwa hapo juu kwamba asipewe leseni au Kibali cha ujenzi, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa
EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusu mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa hapo juu, anapaswa kuwasilis...
18/08/2026

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusu mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa hapo juu, anapaswa kuwasilisha maoni au pingamizi hilo kwa maandishi kwa EWURA kupitia anwani iliyotajwa hapa chini, ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Address

Ewura House, 3 EWURA Street, Tambukareli, Plot No. 3, P. O. Box 2857
Dodoma
41104

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 04:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255262329003

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ewura Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Ewura Tanzania:

Shortcuts

Share