Wizara ya Maliasili na Utalii - Tanzania

Wizara ya Maliasili na Utalii - Tanzania Responsible for management of Natural and Cultural Resources and development of tourism.

25/07/2022
SABASABA
10/07/2021

SABASABA





Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Marry Massanja pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utali...
09/07/2021

Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Marry Massanja pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi wakipewa taarifa na Mhifadhi Mkuu wa Mambo ya Kale, Mwita William (Kushoto) kuhusu namna za kujiajiri kupitia Malikale alipotembelea Banda la Wizara kwenye Maonesho ya 45 ya kimataifa ya Kibiashara yanayoendelea jijini Dar Es Salaam.

Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Marry Massanja pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utali...
09/07/2021

Naibu Waziri wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Mhe. Marry Massanja pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi (kulia) wakipewa taarifa na Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utalii, Richie Wandwi (Kushoto) kuhusu Sera na Miongozo ya sekta ya Utalii alipotembelea Banda la Wizara kwenye Maonesho ya 45 ya kimataifa ya Kibiashara yanayoendelea jijini Dar Es Salaam.

09/07/2021





Address

1351
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wizara ya Maliasili na Utalii - Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Wizara ya Maliasili na Utalii - Tanzania:

Share