ndc_tanzania

ndc_tanzania Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ndc_tanzania, Public & Government Service, Dodoma.

09/10/2019
Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) linatekeleza kwa vitendo sera ya Tanzania ya viwanda kwa kuzalisha matrekta aina ya ...
13/06/2019

Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) linatekeleza kwa vitendo sera ya Tanzania ya viwanda kwa kuzalisha matrekta aina ya Ursus yanayo wainua Watanzania kiuchumi na kushiriki kuchangia pato la taifa.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Faustine Ndugulile akiteta jambo na Meneja Uwekezaji ...
14/05/2019

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Faustine Ndugulile akiteta jambo na Meneja Uwekezaji wa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) Said Tunda pamoja na Meneja wa udhibiti wa ubora na viwango (Biotech Products Ltd) (Hawapo pichani) wakati wa kikao kazi
kwa ajili ya kuangamiza maambukizi ya ugonjwa ma Malaria pamona na Dengue, leo jijini Dodoma.

@ Dodoma, Tanzania

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amefanya kikao kazi na Shirika la Taifa la Mae...
14/05/2019

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amefanya kikao kazi na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) pamoja na kiwanda kinachozalisha dawa za viuadudu vya mazalia ya mbu (Biotech Products Ltd) kwa ajili ya kupanga mkakati wa kuangamiza maambukizi ya ugonjwa wa Malaria pamona na Dengue, leo jijini Dodoma.

@ Dodoma, Tanzania

01/05/2019

Wamiliki wa matrekta ya Ursus (NDC) wa Kanda ya Kaskasini wakiandamana mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kiteto (Kibaya), Ndg Tumaini Magessa wakifuatiwa na baadhi ya matrekta yao. Wilaya ya Kiteto peke yake inamatrekta ya Ursus yapatayo 100

Wamiliki wa matrekta ya Ursus (NDC) wa Kanda ya Kaskasini  wakiandamana mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kiteto (Kibaya), Ndg ...
01/05/2019

Wamiliki wa matrekta ya Ursus (NDC) wa Kanda ya Kaskasini wakiandamana mbele ya Mkuu wa wilaya ya Kiteto (Kibaya), Ndg Tumaini Magessa wakifuatiwa na baadhi ya matrekta yao. Wilaya ya Kiteto peke yake inamatrekta ya Ursus yapatayo 100 @ Kiteto

Mafundi wa matrekta ya Ursus yanayounganishwa na kusambazwa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Hassan Ndyaly na Rahabu...
01/05/2019

Mafundi wa matrekta ya Ursus yanayounganishwa na kusambazwa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Hassan Ndyaly na Rahabu Japheti wakikagua matrekta na kutoa ushauri kwa wamiliki na madereva wa matrekta wilayavya Kiteto. Wananchi wa wilaya hiyo wana matrekta aina ya Ursus yapatayo 100 ambayo yanasambazwa na NDC @ Kiteto

Mafundi wa matrekta ya Ursus yanayounganishwa na kusambazwa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Hassan Ndyaly na Rahabu...
01/05/2019

Mafundi wa matrekta ya Ursus yanayounganishwa na kusambazwa Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC), Hassan Ndyaly na Rahabu Japheti wakikagua matrekta na kutoa ushauri kwa wamiliki na madereva wa matrekta wilayavya Kiteto. Wananchi wa wilaya hiyo wana matrekta aina ya Ursus yapatayo 100 ambayo yanasambazwa na NDC

Address

Dodoma

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ndc_tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share