Bunge la Tanzania

Bunge la Tanzania Tanzania Parliament is the Supreme Legislature of the country It consists of the President of the United Republic and the National Assembly.
(1)

Tanzania Parliament like its counterparts, in other countries, is the Supreme Legislature of the country. It grants money for running the administration of the country and is a very effective instrument for overseeing Government programs and plans. It can also oversee the action of the Executive by being a watchdog to ensure that government is accountable for its administration. The most important

function of Parliament is to make laws. The subjects on which Parliament can legislate have been laid down in the Constitution. Parliament is sovereign in the sphere of Legislation. The scheme of our Constitution being a United Republic, the Tanzania parliament that is a Union Parliament exercises autonomous powers in the sphere of both Union and Non union Matters which are not under the purview of Zanzibar Government. In view of that parliament can assumes the following roles:

To pass laws for the good governance. To provide, by giving legislative sanction to taxation and acquisition
of means to carrying out the work of the government. To scrutinize government policy and administration, including
proposal for expenditure; and to debate major issues of the day

Wabunge Vijana  wamepatiwa mafunzo kuhusu masuala ya Uongozi, Maadili pamoja na Akili ya Hisia.Mafunzo hayo yamefanyika ...
03/09/2026

Wabunge Vijana wamepatiwa mafunzo kuhusu masuala ya Uongozi, Maadili pamoja na Akili ya Hisia.

Mafunzo hayo yamefanyika leo Bungeni jijini Dodoma lengo likiwa ni kuwajengea uwezo katika kufanya maamuzi chanya wakati wa utekelezaji wa majukumu yao.

Wamemshukuru Spika wa Bunge Mheshimiwa M***a Azzan Zungu kwa kuwezesha mafunzo hayo yalitolewa na aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama Prof. Elisante Ole Gabriel.

Bunge limepitisha Azimio la kuridhia Mkataba wa Uanzishwaji wa Taasisi ya Ukuzaji wa Maendeleo ya Kijani Duniani (GGGI) ...
03/09/2026

Bunge limepitisha Azimio la kuridhia Mkataba wa Uanzishwaji wa Taasisi ya Ukuzaji wa Maendeleo ya Kijani Duniani (GGGI) leo Septemba 03, 2026 Bungeni jijini Dodoma.

Aidha, Bunge pia limepokea Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo kuhusu Uchambuzi wa Sheria Ndogo zilizowasilishwa Bungeni katika Mkutano wa Pili wa Bunge.

Climate change knows no borders, and neither should our solutions.As the world prepares for the 153rd IPU Assembly in Ar...
03/09/2026

Climate change knows no borders, and neither should our solutions.

As the world prepares for the 153rd IPU Assembly in Arusha, Tanzania, parliaments are called upon to work together in advancing climate action, strengthening resilience and safeguarding future generations.

Through legislation, oversight and representation, parliaments have a critical role in driving sustainable development and supporting communities affected by climate change.

Together, we can build a greener, more resilient future for all.

Baadhi ya Wabunge wa Vyama vya Upinzani Bungeni wakiongozwa na Mhe. Ado Shaibu Ado, wamekutana na kufanya mazungumzo na ...
03/09/2026

Baadhi ya Wabunge wa Vyama vya Upinzani Bungeni wakiongozwa na Mhe. Ado Shaibu Ado, wamekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Wabunge kutoka Bunge la Uganda, ukiongozwa na Mhe. Namara Dennis, yaliyofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.

Wabunge hao wapo nchini kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu wa kikazi kuhusu utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya Bunge.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya Papo kwa Papo kutoka kwa Wah...
03/09/2026

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba akijibu maswali ya Papo kwa Papo kutoka kwa Waheshimiwa Wabunge wakati wa Kikao cha Saba cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13 leo Septemba 03, 2026.

Waheshimiwa Wabunge wakiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Septemba 03, 2026 kuhudhuria Kikao cha Saba cha Mkutano wa Nne ...
03/09/2026

Waheshimiwa Wabunge wakiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Septemba 03, 2026 kuhudhuria Kikao cha Saba cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.

03/09/2026

Waheshimiwa Wabunge wakiwasili Bungeni jijini Dodoma leo Septemba 03, 2026 kuhudhuria Kikao cha Saba cha Mkutano wa Nne wa Bunge la 13.

03/09/2026

. BUNGE LA KUMI NA TATU, MKUTANO WA NNE, KIKAO CHA SABA TAREHE 03 SEPTEMBA, 2026

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, leo tarehe 2 Septemba, 2026, amekutana na kufan...
02/09/2026

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndg. Baraka Leonard, leo tarehe 2 Septemba, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Maandalizi ya Mkutano wa Wabunge Wanawake wa Jukwaa la Mabunge ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (FP-ICGLR) wakiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Ndg. Eliakim Maswi.

Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwake Bungeni, Jijini Dodoma, yakiwa na lengo la kupokea na kujadili maendeleo ya maandalizi ya mkutano huo mkubwa wa kikanda.

Mkutano huo unatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 2 hadi 5 Novemba, 2026, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam.

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. M***a Azzan Zungu(Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Spika w...
02/09/2026

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. M***a Azzan Zungu(Mb), amekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe Aimé Boji Sangara Bamanyirwe aliyeambatana na ujumbe wake.

Mazungumzo hayo yamefanyika, leo tarehe 2 Septemba, 2026 katika Ukumbi wa Spika Bungeni Jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine, walizungumza kuhusu umuhimu wa kudumisha ushirikiano kati ya vyama vya Kibunge baina ya nchi hizi mbili.

Address

10th Morogoro Road, P. O. Box 941, 40490 Tambukareli
Dodoma

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bunge la Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Bunge la Tanzania:

Shortcuts

Share