Kondoa District Council

Kondoa District Council Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ina maeneo ya vivutio vya utalii k**a michoro ya mapangoni eneo la Kondoa Irangi.

Matokeo ya Usaili wa Mahojiano tarehe 8-12-2021
08/12/2021

Matokeo ya Usaili wa Mahojiano tarehe 8-12-2021

Matokeo ya mtihani wa mchujo na kuitwa kwenye usaili wa mahojiano kesho tarehe 8-12-2021 Usaili wa mahojiano utafanyika ...
07/12/2021

Matokeo ya mtihani wa mchujo na kuitwa kwenye usaili wa mahojiano kesho tarehe 8-12-2021

Usaili wa mahojiano utafanyika ukumbi wa Kondoa Irangi
Musa kuandaa saa 2:00 Asubuhi

Tangazo la kuitwa kwenye usaili
02/12/2021

Tangazo la kuitwa kwenye usaili

Baadhi ya Watumishi walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wiki ya sherehe zamiaka 60 ya uhuru wa Tanganyika
02/12/2021

Baadhi ya Watumishi walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wiki ya sherehe zamiaka 60 ya uhuru wa Tanganyika

Uzinduzi wa Sherehe za Uhuru na Ujenzi awamu ya pili Mji wa serikali. Eneo la viwanja vya Mtumba DodomaMatukio katika pi...
02/12/2021

Uzinduzi wa Sherehe za Uhuru na Ujenzi awamu ya pili Mji wa serikali.
Eneo la viwanja vya Mtumba Dodoma
Matukio katika picha eneo la uzinduzi

Mgeni Rasmi Dkt.Ashatu Kijaji siku ya Takwimu  Afrika 2021 akizungumza...
28/11/2021

Mgeni Rasmi Dkt.Ashatu Kijaji siku ya Takwimu Afrika 2021 akizungumza...

Siku ya Takwimu ya Afrika 2021-Viwanja vya Pahi H/Wilaya ya Kondo
28/11/2021

Siku ya Takwimu ya Afrika 2021-Viwanja vya Pahi H/Wilaya ya Kondo

Tangazo kwa watumishi wapya wanaoripoti Halmashauri ya Wilaya ya KondoaMkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa ana...
06/07/2021

Tangazo kwa watumishi wapya wanaoripoti Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa anawakaribisha watumishi wapya waliopangiwa kufanya kazi katika Halmashauri hii.
Ili kuepuka usumbufu wa kufika Ofisi zilipo au kwa changamoto zozote,tafadhali rejea mawasiliano katika tangazi hapa chini

Kikao Kazi TASAF Kipindi cha Pili  cha Awamu ya Tatu Wilaya ya KondoaMgeni Rasmi  Mhe. Sezaria  Veneranda Makota  Mkuu w...
23/04/2021

Kikao Kazi TASAF Kipindi cha Pili cha Awamu ya Tatu Wilaya ya Kondoa
Mgeni Rasmi Mhe. Sezaria Veneranda Makota Mkuu wa Wilaya ya Kondoa
Hotuba ya Mgeni Rasmi
=Malengo ya TASAF III awamu ya pili ni pamoja na
1.kuwawezesha kaya kufanya kazi na hivyo kuongeza kipato,
2.kuwawezesha kuongeza rasilimali zalishi na kuongeza vitega uchumi,
3.kuwekeza kaika rasilimali watu ili kuleta matokea ya kudumu,
4. upatikanaji wa huduma za afya,maji na elimu
5. kukuza uchumi kaika maeneo ya walengwa kupitia vikundi vya miradi.
>

KIKAO CHA LISHE LEO TAR 19 JAN,2020 KIKIENDELEA...Kikao cha lishe kikijumuisha Wadau wa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya K...
19/01/2020

KIKAO CHA LISHE LEO TAR 19 JAN,2020 KIKIENDELEA...
Kikao cha lishe kikijumuisha Wadau wa Lishe Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa na Shirika la Deloitte linalojihusisha na lishe endelevu kikiendelea katika ukumbi wa Biashara uliopo Halmashauri ya Mji wa Kondoa.

MATOKEO KIDATO CHA NNE YATANGAZWA RASMIBOFYA👇
09/01/2020

MATOKEO KIDATO CHA NNE YATANGAZWA RASMI
BOFYA👇

View single announcement

Kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kilichofanyika tarehe 21/11/2019 Bukulu Makao Makuu ya Halm...
22/11/2019

Kikao cha Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Kondoa kilichofanyika tarehe 21/11/2019 Bukulu Makao Makuu ya Halmashauri.
Matukio katika picha...

Address

Dodoma
P.OBOX1,KONDOA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kondoa District Council posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Kondoa District Council:

Share