Geuwasa

Geuwasa GEUWASA became a Regional Water Supply and Sanitation Authority in 2012

13/05/2026
05/05/2026
WANAWAKE GEUWASA WAUNGANA NA WENZAO  KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.Watumishi Wanawake wa Mamlaka ya MajiSafi na U...
08/03/2026

WANAWAKE GEUWASA WAUNGANA NA WENZAO KUADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI.

Watumishi Wanawake wa Mamlaka ya MajiSafi na Usafi wa Mazingira Geita (GEUWASA) wameungana na wenzao kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake Duniani ambayo kwa Mkoa wa Geita maadhimisho hayo yamefanyika katika viwanja vya CCM Kalangalala Manispaa ya Mji Geita.

Siku hii ya Wanawake ambayo imeadhimishwa leo Machi 8 inaongozwa na kauli mbiu ya “Haki na Usawa kwa Wanawake na Wasichana, Msingi Jumuishi kufikia Dira 2050”

Address

P. O. Box 477
Geita
2501352

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30
Saturday 09:00 - 13:30

Telephone

+255800750060

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Geuwasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Geuwasa:

Share