Halmashauri ya Wilaya ya Mlele

Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Habari zetu za mlele

Nunueni mabeg acheni ushamba
05/08/2024

Nunueni mabeg acheni ushamba

16/06/2024
Anafaa bhana Yanga wahini Chuma icho.NDIO HIVO TENA..Mpira Ni Maslahi Na Sio Mapenzi Yes Jonas Mkude "Nungu Nungu" Ana F...
28/06/2023

Anafaa bhana Yanga wahini Chuma icho.
NDIO HIVO TENA
..Mpira Ni Maslahi Na Sio Mapenzi Yes Jonas Mkude "Nungu Nungu" Ana Familia Na Anahitaji Pesa Kuendesha Familia Yake
..Wananchi Mpokeeni Mkude Cause Ni Mmoja Kati Ya Wachezaji Bora Zaidi Wazawa
.Inaelezwa Amesaini Mwaka Mmoja Kuitumikia Klabu Ya Yanga

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Sanga leo hii amewahimiza wazazi kuwapeleka watoto waliochini ya umri wa miaka mita...
22/11/2021

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe.Filberto Sanga leo hii amewahimiza wazazi kuwapeleka watoto waliochini ya umri wa miaka mitano kupata usajili wa vyeti vya kuzaliwa ambavyo vitasaidia katika mambo mbalimbali muhimu katika maisha yao .Pia amewataka watendaji wa zoezi Hilo kuwa waadilifu katika kutekeleza zoezi hilo muhimu kwa Taifa

Waandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa katika kampeni ya kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wa chini ya miaka 5 wakipokea ...
20/11/2021

Waandikishaji wa vyeti vya kuzaliwa katika kampeni ya kuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wa chini ya miaka 5 wakipokea vifaa vya usajili wa vyeti mara baada ya Mafunzo katika ukumbi wa karibnga Leo tarehe 20.11.2021.
Zoezi litazinduliwa na mkuu wa Wilaya siku ya jmatatu asubuhi

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi Teresia Irafy  akifanya usafi wa Mazingira katika mradi wa ujen...
20/11/2021

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Bi Teresia Irafy akifanya usafi wa Mazingira katika mradi wa ujenzi wa Wodi za wangonjwa Hospitali ya Wilaya ya Mlele. Alioambatana nao ni kaimu mganga mkuu Wilaya, na Afisa mazingira tarehe 19.11.2021

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe: Philiberto Sanga amezindua mafunzo ya mpango wa usajili wa watoto wa miaka 5 Leo asubuhi kw...
18/11/2021

Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mhe: Philiberto Sanga amezindua mafunzo ya mpango wa usajili wa watoto wa miaka 5 Leo asubuhi kwa Watendaji wa kata, Vijiji na watoa huduma za Afya katika maeneo ya kata na vijiji.
Amewaasa washiriki wote kuwajibika kwa nguvu zote katika zoezi hili ambalo ni nila kisheria.
Lengo la Mpango huu nikuwapatia vyeti vya kuzaliwa watoto wote wenye umri wa miaka iliyotajwa.
Amesisitiza kuwa serikali inahitaji takwimu sahihi ili kuleta maendeleo.
Takwimu hizi ni muhimu kwa ajili ya kupanga maendeleo katika taifa letu

Maafisa TEHAMA wa Halmashauri na Mikoa wanafanya mafunzo ya changamoto za POS ili kuhakikiasha ukusanyaji wa mapato kwa ...
09/11/2021

Maafisa TEHAMA wa Halmashauri na Mikoa wanafanya mafunzo ya changamoto za POS ili kuhakikiasha ukusanyaji wa mapato kwa POS unapata ufanisi na kupunguza defaulter

16/08/2020

Journalist

RAS wa katavi bwana Abdallah M Malela ametambelea Banda la maonyesho la halmashauri ya Wilaya ya Mlele kujionea jonsi ha...
06/08/2020

RAS wa katavi bwana Abdallah M Malela ametambelea Banda la maonyesho la halmashauri ya Wilaya ya Mlele kujionea jonsi halmashauri ilivyojopanga kuwaendeleza wakulima.
Wakati anafika katika Banda hilo alipokelewa kwa furaha na shangwe.
Ameridhika na mafunzo yanayotolewa na wajasiriamali

Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele katika picha ya pamoja
31/07/2020

Watumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Mlele katika picha ya pamoja

Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Alexius R. Kagunze akikagua mradi wa hospitali ya Wilaya ukiwa katika...
11/11/2019

Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mlele Alexius R. Kagunze akikagua mradi wa hospitali ya Wilaya ukiwa katika hatua za mwisho.
Pamoja na kuchelewa kutokana na changamoto za tofali zilizokuwa chini ya kiwango hospitali hiyo inaonekana kuwa katika kiwango cha Hali ya juu.
Mradi huu utakamilika siku chache zijazo.

Address

Inyonga

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Halmashauri ya Wilaya ya Mlele posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Halmashauri ya Wilaya ya Mlele:

Share