23/06/2023
🚨🚨
Moses Phiri 🇿🇲 anahusishwa kujiunga na Tp Mazembe 🇨🇩, Mazembe imewasilisha barua ya ofa kwa mchezaji huyo kabla ya kukutana na Simba SC 🇹🇿.
Mpango wa kubadilishana unaweza kufanyika na Baleke 🇨🇩