Cheba General Traders

Cheba General Traders Fumigation, fire equipments, cleaning materials, cleaning services, stationery...

Usisubiri majanga ya moto yatokee.. hakikisha vifaa vya kuzimia moto vipo na vinafanya kazi ili kupunguza madhara yatoka...
24/05/2025

Usisubiri majanga ya moto yatokee.. hakikisha vifaa vya kuzimia moto vipo na vinafanya kazi ili kupunguza madhara yatokanayo na moto. Karibu kununua, kutengeneza na kujifunza matumizi sahihi ya vifaa vyote vya kuzimia moto 🧯

Mitungi ya kuzimia moto (fire extinguishers) husaidia kukabiliana na majanga ya moto (hatua za awali) na kupunguza madha...
27/04/2025

Mitungi ya kuzimia moto (fire extinguishers) husaidia kukabiliana na majanga ya moto (hatua za awali) na kupunguza madhara yatokanayo na moto..
Karibu kwa kununua, kutengeneza/kujaza mitungi ya kuzimia moto na vifaa vingine vya kuzima moto kwa gharama nafuu!

Tunauza na kufunga (installation) mitungi ya kuzimia moto 🧯 pamoja na vifaa vyote vya kuzimia moto majumbani, maofisini,...
19/04/2025

Tunauza na kufunga (installation) mitungi ya kuzimia moto 🧯 pamoja na vifaa vyote vya kuzimia moto majumbani, maofisini, viwandani n.k
Karibu tukuhudumie! 🙂

Zipo faida nyingi za kutumia mitungi ya kuzimia moto (Fire Extinguishers); zinapatikana kwa gharama nafuu, huzima aina n...
13/04/2025

Zipo faida nyingi za kutumia mitungi ya kuzimia moto (Fire Extinguishers); zinapatikana kwa gharama nafuu, huzima aina nyingi za moto (umeme, mafuta, gesi nk.), matumizi rahisi.

09/04/2025
Fire blankets kwa gharama nafuu..Njia nyepesi na rahisi ya kuzima moto 🚒
25/03/2025

Fire blankets kwa gharama nafuu..
Njia nyepesi na rahisi ya kuzima moto 🚒

Karibu Cheba General Traders kwa huduma ya ku-service mitungi ya kuzimia moto aina zote iwe kwenye vyombo vya moto, ofis...
08/07/2023

Karibu Cheba General Traders kwa huduma ya ku-service mitungi ya kuzimia moto aina zote iwe kwenye vyombo vya moto, ofisi, shule, nyumba n.k
Pia tunauza na kufanya installation ya mitungi ya kuzimia moto 🧯 na vifaa vingine vya kuzimia moto kwa gharama nafuu.

Wasiliana nasi kupitia:
page: Cheba General Traders
Mobile: 0714 066 122
E-mail: @gmail.com

07/07/2023

Cheba General Traders tunawatakieni nyote heri na maadhimisho mema ya sikukuu ya Saba Saba.

Habari! Karibu Cheba General Traders. Hii ni kampuni ya kisasa iliyojikita katika shughuli zifuatazo fumigation (kupuliz...
02/07/2023

Habari! Karibu Cheba General Traders. Hii ni kampuni ya kisasa iliyojikita katika shughuli zifuatazo fumigation (kupuliza dawa za kuua wadudu), vifaa vya kuzimia moto, vifaa vya usafi, huduma ya usafi, stationery na vifaa vya magari.
Kampuni yetu ina watendakazi wenye uzoefu na wenye utendaji mkubwa wa kazi katika majukumu yao ya kila siku.
Kampuni imesajiliwa kisheria na ina leseni halali za biashara pia tunatoa risiti za EFD kwa kila malipo ya huduma.
Ofisi yetu inapatikana viwanja vya Saba Saba-Iringa, Tanzania.
Tafadhali wasiliana nasi kupitia:

page: Cheba General Traders
Mobile: 0714 066 122
E-mail: [email protected]

Address

Saba Saba-Iringa
Iringa

Telephone

+255714066122

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Cheba General Traders posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Cheba General Traders:

Share