25/05/2026
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Iringa, Mhe. Nancy Nyalusi, ameendelea kuzisaka kura za Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambapo leo tarehe 24 Mei alikuwa pamoja na wananchi wa Kata ya Mlowa kuendelea kufanya kampeni za kumuombea kura mgombea Ubunge wa Jimbo la Isimani, Ndugu Emanuel Kaganda Mtatifikolo, katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Isimani.
“Umoja wetu ndiyo ushindi wetu, na kura zetu ndiyo msingi wa maendeleo ya Isimani.” — Mhe. Nancy Nyalusi