Iringa Cultural Tourism and Conservation

Iringa Cultural Tourism and  Conservation starts on cultural tourism by consider on museum,historical sites, tradition and custom found in Iringa region.

Tunautangaza urithi wa utamaduni kutoka nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mtwa/Chief Mkwawa alikufa karne yqa 18, Ushuj...
18/08/2026

Tunautangaza urithi wa utamaduni kutoka nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania. Mtwa/Chief Mkwawa alikufa karne yqa 18, Ushujaa wake wa kupambana na wakoloni inabakia alama ya ushujaa.

Ndani ya hifadhi ya Ruaha National Park kuna shughuli mbali mbali za kiutafiti na kiulinzi zinafanyika kuhakikisha Wanya...
14/08/2026

Ndani ya hifadhi ya Ruaha National Park kuna shughuli mbali mbali za kiutafiti na kiulinzi zinafanyika kuhakikisha Wanyama pori wanalindwa na kupata usalama. Moja ya teknolojia inayoitwa Camera-trap, inatumika kukusanya taarifa za wanyama pori kwa kutumia camera mahalumu inayofungwa kwenye miti iliyokaribu na njia zinazotumiwa na wanyama pori.

Usaliti katika mapenzi hakuanza  jana wala baada ya kuanzishwa mitandao ya kijamii. Mtwa/Chief Mkwawa alikuwa anawake za...
14/08/2026

Usaliti katika mapenzi hakuanza jana wala baada ya kuanzishwa mitandao ya kijamii. Mtwa/Chief Mkwawa alikuwa anawake zaidi ya 50. Alikuwa anaheshimika na kuogopewa na watu wa jamii yake. Hiyo haikuwaogopesha wake zake. Mtwa Mkwawa alikuwa na teknolojia ya jadi ya kutambua k**a moja ya wake zake wamemsaliti.. Teknolojia ingewezeswhwa katika enzi hizi utilivu katika ndoa ungekuwepo

Isimila Stone Age ni alama na urithi wetu wana Iringa
25/07/2026

Isimila Stone Age ni alama na urithi wetu wana Iringa

Nature ni moja ya utajiri tuliobarikiwa,  Iringa inauwezo kuhikabili changamoto inayoikumba dunia "MABADILIKO TABIA NCHI...
22/07/2026

Nature ni moja ya utajiri tuliobarikiwa, Iringa inauwezo kuhikabili changamoto inayoikumba dunia "MABADILIKO TABIA NCHI"

Usisahahu wakinamama ndiyo wamjiajiri kwenye sekta isiyo rasmi, na wengi wao wanauza bidhaa  maeneo yaliyo wazi. Mabadal...
14/07/2026

Usisahahu wakinamama ndiyo wamjiajiri kwenye sekta isiyo rasmi, na wengi wao wanauza bidhaa maeneo yaliyo wazi. Mabadaliko tabia nchi yanaweza leta athari kibiashara. Kuongezeka kwa joto kuna athiri kiuchumi. Tukitunza Asili yetu tunafanikiwa kuokoa maisha ya mwanamke

Tunakumbusha Kuudumisha ASILI YA IRINGA, kunaepusha changamoto nyingi za kimazingira. Mabadiliko tabia nchi yanatokana n...
12/07/2026

Tunakumbusha Kuudumisha ASILI YA IRINGA, kunaepusha changamoto nyingi za kimazingira. Mabadiliko tabia nchi yanatokana na kushindwa kuhifadhi mazingira.

Foresty town, Stone town, Culture town, Green town, yote ni kuongeza thamani ya mkoa wa Iringa.Mkoa uliobarikiwa
08/07/2026

Foresty town, Stone town, Culture town, Green town, yote ni kuongeza thamani ya mkoa wa Iringa.Mkoa uliobarikiwa

Uwezi kutenganisha Asili na utamaduni wa mwana Iringa. Misitu ni sehemu ya asili na ina mahusihano na utamduni wetu. SAO...
06/07/2026

Uwezi kutenganisha Asili na utamaduni wa mwana Iringa. Misitu ni sehemu ya asili na ina mahusihano na utamduni wetu. SAO HILL ni moja tunu ya kujivunia. Nchi za ulaya na Amerika zinapitia joto kali lilopitiliza (Extreme Heat Wave)_Nchi k**a Ujerumani na Ufaransa kumeripotiwa mamia ya vifo. Lakini Iringa hali ya hewa ni baridi British Council

Hakuna wa kuizuia teknolojia, Tunaelimisha kizazi cha vijana kwa kutumia nguvu ya teknolojia ya Virtual Reality (VR)..il...
05/07/2026

Hakuna wa kuizuia teknolojia, Tunaelimisha kizazi cha vijana kwa kutumia nguvu ya teknolojia ya Virtual Reality (VR)..ili kukuza na kulinda urithi wa utamaduni wa Iringa. inaweza kubadilisha namna ambavyo urithi huu unavyotangazwa, kufundishwa, kufurahiwa na kulindwa. Kupitia VR, watu wanaweza "kutembelea" maeneo ya urithi ya Iringa bila ya kuwepo huko kimwili. British Council

Address

Iringa
51108

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Iringa Cultural Tourism and Conservation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Iringa Cultural Tourism and Conservation:

Shortcuts

Share