Manispaa Iringa 1

Manispaa Iringa 1 Ukurasa huu ni maalum kwa ajili ya matukio na habari mbalimbali zinazohusiana na Halmashauri ya Man

"Niwaombe tuweke Mazingira safi na kuwa wakarimu kwa wageni, pia wananchi waruhusiwe kuvinjali nakuangalia utalii ndani ...
20/08/2019

"Niwaombe tuweke Mazingira safi na kuwa wakarimu kwa wageni, pia wananchi waruhusiwe kuvinjali nakuangalia utalii ndani ya Manispaa ya Iringa"
Kauli hiyo imesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe Ally Hapi katika kongamano la utalii karibu kusini lililofanyika ukumbi wa Siasa ni Kilimo ndani ya Manispaa ya Iringa .
Miongoni mwa washiriki katika kongamano hilo ni Pamoja na Wakuu wa Wilaya, Jeshi la polisi, Wamiliki wa mahoteli, Viongozi wa Dini na viongozi mbalimbali wa Serikali nzima kutoka Manispaa ya Iringa. .ryata @

MKUU WA WILAYA YA IRINGA MHESHIMIWA RICHARD KASESELA AMEWAPONGEZA WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI YA LUGALO KWA KUFUTA DIVI...
24/07/2019

MKUU WA WILAYA YA IRINGA MHESHIMIWA RICHARD KASESELA AMEWAPONGEZA WALIMU WA SHULE YA SEKONDARI YA LUGALO KWA KUFUTA DIVISION ZIRO
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEWATAKA WANANCHI WA MANISPAA YA IRINGA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA STENDI MP...
18/07/2019

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEWATAKA WANANCHI WA MANISPAA YA IRINGA KUCHANGAMKIA FURSA KATIKA STENDI MPYA YA IGUMBILO.
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEZINDUA RASMI HUDUMA ZA MABASI KATIKA STENDI YA IGUMBILO.Soma zaidi kupiti...
18/07/2019

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEZINDUA RASMI HUDUMA ZA MABASI KATIKA STENDI YA IGUMBILO.
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

KAMATI YA USAFIRISHAJI MKOA WA IRINGA IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA MRADI WA STENDI YA MABASI YA IGUMBILO MANISPAA YA IRINGA...
09/07/2019

KAMATI YA USAFIRISHAJI MKOA WA IRINGA IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA MRADI WA STENDI YA MABASI YA IGUMBILO MANISPAA YA IRINGA
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

KAMATI YA SIASA YA CCM NGAZI YA MKOA IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA IRINGASoma zaidi kupitia ...
09/07/2019

KAMATI YA SIASA YA CCM NGAZI YA MKOA IMEFANYA ZIARA YA KUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO MANISPAA YA IRINGA
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

MKURUGENZI WA MANISPAA YA IRINGA AMEKUTANA NA WAFANYA BIASHARA WALIOPANGISHWA KATIKA VIBANDA VINAVYOMILIKIWA NA MANISPAA...
02/07/2019

MKURUGENZI WA MANISPAA YA IRINGA AMEKUTANA NA WAFANYA BIASHARA WALIOPANGISHWA KATIKA VIBANDA VINAVYOMILIKIWA NA MANISPAA

Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

24/06/2019

BEI ZA LESENI ZA BIASHARA ZINAZOTOZWA NA HALMASHAURI YA MANISPAA YA IRINGA

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEUAGIZA UONGOZI WA MANISPAA YA IRINGA KUINGIZA MABASI STENDI YA IGUMBILOSo...
13/06/2019

MKUU WA MKOA WA IRINGA MHESHIMIWA ALLY HAPI AMEUAGIZA UONGOZI WA MANISPAA YA IRINGA KUINGIZA MABASI STENDI YA IGUMBILO
Soma zaidi kupitia http://www.iringamc.go.tz

Address

S. L. P 162
Iringa
AAASSSS

Opening Hours

Monday 07:00 - 17:00
Tuesday 07:00 - 17:00
Wednesday 07:00 - 17:00
Thursday 07:00 - 17:00
Friday 07:00 - 17:00

Telephone

+255757077164

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Manispaa Iringa 1 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share