Ofisi ya mbunge kaliua

Ofisi ya mbunge kaliua Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ofisi ya mbunge kaliua, Political organisation, Kaliua.

25/07/2026
24/07/2026
13/07/2026

IMANI HULIPWA KWA IMANI
🙏🏿

30/06/2026

MHE. JOSEPH ENOCK TAMA
MIDFIELDER KISHETI

20/05/2026

MHE. TAMA AISHUKURU SERIKALI KWA KUTENGA FEDHA ZA BARABARA YA MPANDA–KALIUA–KAHAMA

Mheshimiwa Joseph Enock Tama, Mbunge wa Jimbo la Kaliua, amechangia hoja wakati wa uwasilishaji wa Bajeti ya Wizara ya Ujenzi Bungeni, ambapo ameishukuru Serikali kwa kutenga fedha kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Mpanda–Kaliua–Kahama.

Akichangia hoja hiyo, Mheshimiwa Mbunge alieleza kuwa utekelezaji wa mradi huo utakuwa na mchango mkubwa katika kukuza uchumi, kurahisisha usafiri na usafirishaji wa mazao pamoja na kufungua fursa za biashara na uwekezaji kwa wananchi wa maeneo husika.

Mheshimiwa Tama ameendelea kuonesha dhamira ya kusimamia miradi ya maendeleo yenye manufaa makubwa kwa wananchi wa Jimbo la Kaliua na Taifa kwa ujumla.

Imetolewa na:
Ally J. Kallah
Katibu wa mbunge - jimbo la kaliua

TANZIA.
10/05/2026

TANZIA.

Address

Kaliua

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ofisi ya mbunge kaliua posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share