SHAA

SHAA INJILI YA MILELE

Wapenzi katika BWANA neema ya MUNGU wetu iwe nanyi Amina Basi wapenzi nawaomba kuacha kulitumia jina YESU k**a kinga ya ...
28/08/2020

Wapenzi katika BWANA neema ya MUNGU wetu iwe nanyi Amina

Basi wapenzi nawaomba kuacha kulitumia jina YESU k**a kinga ya dhambi kwa sababu yeye ni mpole na MNYENYEKEVU👈

Lakini jueni hasira yake na gadhabu yake ni zaidi ya jehanamu hivyo ogopeni kumtaja YESU kwa ubaya bali kwa wema.

Na mtunzeni ROHO mtakatifu kwa uzuri Amina...

24/08/2020

Thanks my friends

30/05/2020

Watu wa MUNGU BWANA YESU asifiwe. Njoni tusemezane kwa neno la MUNGU-INJILI KWA mataifa yote..

DAMU YA YESU INA NGUVU KULIKO NGOME ZA SHETANI KWA KUAMINI HIVYO SEMA AMEN..
28/05/2020

DAMU YA YESU INA NGUVU KULIKO NGOME ZA SHETANI KWA KUAMINI HIVYO SEMA AMEN..

Address

Kigamboni

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when SHAA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category