Lindi Habari

Lindi Habari Vilevile utapata habari, matangazo na matukio.

Karibu katika ukurasa wa Lindi Habari ambao unamilikiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Lindi.Kupitia ukurasa huu, utaweza kupata taarifa mbalimbali za Mkoa wa Lindi zikihusisha fursa zilizopo za uwekezaji.

https://www.youtube.com/watch?v=gWNpcYbmWm4
22/04/2020

https://www.youtube.com/watch?v=gWNpcYbmWm4

Mkuu wa mkoa wa Lindi ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Nachingwea kwa kutoa mafunzo kwa vikundi kazi vya wanawake na vijana kuhusu utengenezaji wa barabara.

http://www.lindi.go.tz/new/nachingwea-yapewa-pongezi
22/04/2020

http://www.lindi.go.tz/new/nachingwea-yapewa-pongezi

Nachingwea yapewa pongezi Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea yapongezwa kwa kutoa mafunzo kwa vikundi kazi vya wanawake na vijana kuhusu utengenezaji wa barabara. Akizungumza kabla ya kuwakabidhi vyeti wahitikimu wa mafunzo hayo Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi ameupongeza uongozi wa

https://www.youtube.com/watch?v=46eVMutFv-E
22/04/2020

https://www.youtube.com/watch?v=46eVMutFv-E

Mkuu wa mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi amezuia uchimbaji wa dhahabu katika kijiji cha Mpiruka B wilayani Nachingweakutokana na taratibu zinazotakiwa kutof...

https://www.youtube.com/watch?v=BY35qEsRVWA
22/04/2020

https://www.youtube.com/watch?v=BY35qEsRVWA

Meneja Mawasiliano wa Benki ya CRDB Tully Mwambapa amekabidhi msaada wa mbegu za mahindi kwa Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi kwa ajili ya wananchi ...

https://www.youtube.com/watch?v=3bmUz5ATicc
22/04/2020

https://www.youtube.com/watch?v=3bmUz5ATicc

Prof. Sosovele ameeleza nia ya Kampuni ya Grumeti Reserve Ltd kutaka kuwekeza mkoani Lindi katika kikao cha kamati ya ushauri ya mkoa kilichofanyika katika u...

http://www.lindi.go.tz/new/crdb-yatoa-msaada-wa-mbegu-mkoani-lindi
22/04/2020

http://www.lindi.go.tz/new/crdb-yatoa-msaada-wa-mbegu-mkoani-lindi

CRDB yatoa msaada wa mbegu mkoani Lindi Benki ya CRDB yatoa msaada wa mbegu za mahindi kwa wananchi waliokubwa na mafuriko. K**a inavyofahamika kuwa mkoa wa Lindi ulipata tatizo la mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa zilizonyeesha na kusababisha kaya takribani 5,545 zenye watu 28,258 kupoteza

Address

S. L. P. 1054
Lindi

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 15:30
Thursday 07:30 - 17:00
Friday 07:30 - 15:30

Telephone

+255262202098

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Lindi Habari posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Lindi Habari:

Share