South Eastern Zone-TAWA.

South Eastern Zone-TAWA. Welcome to TAWA-SEZ 🌍

Dedicated to preserving our planet's beauty and biodiversity.

21/04/2024

Ni Ruhila zoo-Songea Ruvuma
UHIFADHI TANZANIA Tanzania Wildlife Management Authority - TAWA Mhe. Eng. Stella Manyanya Tanzania Safaris Ruvumatv Wizara ya Maliasili na Utalii - Tanzania

Leo Tarehe 05.02.2024 katika Hifadhi ya Magofu ya Kilwa Kisiwani (WorldHeritagesite). Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapor...
05/02/2024

Leo Tarehe 05.02.2024 katika Hifadhi ya Magofu ya Kilwa Kisiwani (WorldHeritagesite). Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania 🇹🇿 TAWA tumepokea kundi la pili la watalii kutoka nchi mbalimbali kwa Kutumia Meli ya Le Champlain kutoka Ufaransa enye idadi ya watalii 125 ikiwa ni Mwendelezo wa Mamlaka baada ya Jana kuwapokea watalii 102 wa meli ya kampuni ya The Hebridean Sky.
Tunawakaribisha Watanzania kutembelea Hifadhi ya Magofu ya Kilwa Kisiwani na Songo Mnara kujifunza historia ya Utawala na ustaarabu wa Makoloni manne yaliyopata kutawala Nchi za Africa.

Picha katika matukio mbalimbali kwenye Wiki ya Utalii Mkoa wa Mtwara, Mamlaka ya Usimamizi wa wanyamapori-TAWA Tunashiri...
26/12/2023

Picha katika matukio mbalimbali kwenye Wiki ya Utalii Mkoa wa Mtwara, Mamlaka ya Usimamizi wa wanyamapori-TAWA Tunashiriki maonyesho haya kutangaza vivutio vya utalii katika picha ni Mhe DC wa Mtwara alipotembelea banda letu akiwa na wageni wengine.
Tunawakaribisha sana wananchi na wageni mbalimbali kutembelea maonyesho haya ili kujionea na kupata maelezo mazuri kuhusu vivutio vyetu.
Mhe. Eng. Stella Manyanya Tanzania Safaris Tanzania Wildlife Management Authority - TAWA UHIFADHI TANZANIA

26/12/2023

Watalii wa Ndani wakifurahia kutembelea Bustani ya wanyamapori Ruhila Manispaa Songea, tunawakaribisha watanzania muweze kujionea vivutio vyetu.

22/12/2023



13/12/2023
11/12/2023

Welcome to TAWA-SEZ 🌍

Dedicated to preserving our planet's beauty and biodiversity.

11/12/2023



09/12/2023
09/12/2023

Karibu kwenye ukurasa wetu wa Facebook TAWA Kanda ya Kusini Mashariki, Tunakualika kujiunga na familia yetu ya wapenda mazingira. Pamoja, tujenge dunia yenye utajiri wa asili. 🌍 Jiunge nasi kwa safari ya kuhifadhi na kuenzi mazingira yetu. Karibuni sana! 🌳

Address

Masasi-Mtwara
Masasi
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when South Eastern Zone-TAWA. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share