05/03/2022
Mafanikio makubwa ya kweli Yana Anza na wewe , Mimi, yeye, yule, Kisha sisi.
Tusisubili miujiza kutokea pasipo juhudi zetu za wazi. Tumpunguzie Mungu kazi kwa kutumia uwezo aliotupa kila mmoja kwa nafasi yake. Tumtangulize Mungu kwa kila jambo.
*Kwapamoja tunaweza*