08/05/2021
[5/8, 10:59] Dickson: *📢📢 kwa WAHITIMU FORM SIX NA WANACHUO WOTE WATARAJIWA* .
🎓ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA NA VIFO (kwa walofiwa na mzazi)ONLINE KWA AJILI YA MAOMBI YA MKOPO YA VYUO LINAENDELEA ,FIKA WANAFUNZI STATIONERY MAHENGE MJINI TUKUHUDUMIE 🖥️/Kama uko mbali📱 0683955583 tuwasiliane.
🙏MTARIFU MWENZAKO.
[5/8, 11:00] Dickson: TANGAZO LA NAFASI ZA MAFUNZO YA UALIMU NGAZI YA ASTASHAHADA YA UALIMU ELIMU YA AWALI, MSINGI NA STASHAHADA YA UALIMU ELIMU SEKONDARI MWAKA WA MASOMO 2021/2022. Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia anatangaza nafasi za mafunzo ya Ualimu kwa ngazi ya Astashahada ya Ualimu Elimu ya Awali, Msingi na Stashahada ya Ualimu Elimu ya Sekondari (Sayansi miaka mitatu). Waombaji wa mafunzo haya ni wahitimu wa Kidato cha NNE wenye ufaulu wa Daraja la Kwanza hadi la Tatu (I-III). Wizara inakaribisha maombi ya kujiunga na mafunzo ya Ualimu katika Vyuo vya Serikali na visivyo vya Serikali .FIKA WANAFUNZI STATIONARY KUTUMA MAOMBI MWISHO NI 31/05/2021