20/12/2021
•Hii inaitwa hakuna namna inambidi masharubu akwee mtini na sio sifa yake hasa kwa miti iliosimama wima labda twenzetu lakini kwa tukio k**a hili simba ameona sio kweli "I better save my life"