Shomvi Rajabu Issa

Shomvi Rajabu Issa kazi iendelee

10/09/2025

SAMIA NDIO CHAGUO PEKEE LA WATANZANIA WALIO WENGI

WATANZANIA WOTE TUKO NA SAMIA MPAKA 2030
10/09/2025

WATANZANIA WOTE TUKO NA SAMIA MPAKA 2030

SSH, Alipoingia madarakani alikuta bajet ya mikopo vyuo vikuu ni chini ya bilioni 200  akaipandisha mpaka kufikia zaidi ...
10/09/2025

SSH, Alipoingia madarakani alikuta bajet ya mikopo vyuo vikuu ni chini ya bilioni 200 akaipandisha mpaka kufikia zaidi ya bilioni 500 leo kila mwanafunzi mwenye sifa anapata mkopo tena kwa wakati
Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

SSH,alipoingia alikuta watoto wa form one wanachelewa kwenda shule kwa upungufu wa madarasa mpaka wazazi wachangishwe uj...
10/09/2025

SSH,alipoingia alikuta watoto wa form one wanachelewa kwenda shule kwa upungufu wa madarasa mpaka wazazi wachangishwe ujenzi wa madarasa. Rais Samia alipiga marufuku mzazi kuchangia ujenzi wa shule na akajenga madarasa 23000 ndani ya miaka 2 tu leo neema na furaha kwa wazazi na wanafunzi
Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

SSH, AUGUST 2022 ALITOA ZAIDI YA BL 50 AKAWEKA KWENYE MBOLEA K**A RUZUKU BASI BEI IKASHUKA KUTOKA 120.000 MPAKA 50.000 H...
10/09/2025

SSH, AUGUST 2022 ALITOA ZAIDI YA BL 50 AKAWEKA KWENYE MBOLEA K**A RUZUKU BASI BEI IKASHUKA KUTOKA 120.000 MPAKA 50.000 HADI LEO HAIJAPANDA NA MBOLEA IPO YA KUTOSHA. CHAGUA CCM CHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN

MTULIVU,MSIKIVU,MFUATILIAJI,MPAMBANAJI,MKWELI NA MUADILIFU. CHAGUA CCM CHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN
10/09/2025

MTULIVU,MSIKIVU,MFUATILIAJI,MPAMBANAJI,MKWELI NA MUADILIFU. CHAGUA CCM CHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN

SSH, Amejenga bwawa la umeme kubwa ambalo ni la 3 kwa ukubwa Afrika baada ya Ethiopia, na Nigeria na kwa Afrika Masharik...
10/09/2025

SSH, Amejenga bwawa la umeme kubwa ambalo ni la 3 kwa ukubwa Afrika baada ya Ethiopia, na Nigeria na kwa Afrika Mashariki ni liko tz pekee sasa umeme ni masaa 24 . Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

SSH, mkoa wa morogoro pekee amejenga  hospital mpya za wilaya  7, vituo vya afya vipya 33, zahanati mpya 82 na shule mpy...
10/09/2025

SSH, mkoa wa morogoro pekee amejenga hospital mpya za wilaya 7, vituo vya afya vipya 33, zahanati mpya 82 na shule mpya za sec zaidi ya 150. Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

CHAGUA SAMIA CHAGUA CCM CHAGUA MAENDELEO
10/09/2025

CHAGUA SAMIA CHAGUA CCM CHAGUA MAENDELEO

SSH, amejenga reli ya umeme na ya kasi ndefu ya kmt 2500  ambayo afrika haipo na duniani ni ya tatu kwa urefu baada ya C...
10/09/2025

SSH, amejenga reli ya umeme na ya kasi ndefu ya kmt 2500 ambayo afrika haipo na duniani ni ya tatu kwa urefu baada ya China na Ujerumani
Chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

SSH, anatoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati neema hii haipo popote Afrika nzima ila Tanzania pekee chagua CCM chag...
10/09/2025

SSH, anatoa mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati neema hii haipo popote Afrika nzima ila Tanzania pekee chagua CCM chagua Samia Suluhu Hassan

Address

Mikese
Morogoro
46

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shomvi Rajabu Issa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share