kachic nyoni

kachic nyoni Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from kachic nyoni, Public Service, Morogoro.

28/04/2024

BABYLON
jadax
NO 1

UTANGULIZI
Hapo zamani palitokea mfalme ambae alibarikiwa kua na mwanamke mrembo Sana, ktk nchi ya Babylon hakuwah kutokea msichana mrembo kumzidi mke wa mfalme ,mfalme na mwanamke huyo walibahatika kupata mtoto mmoja aitwae Ana
Na walizid kupendana siku baada ya sku lakn baadae mke wa mfalme aliumwa Sana na hatimae akafariki dunia,
Kutokana na upweke aliokua nao mfalme huyo ndipo akaamua kuoa mke mwingine aitwae Eliza , lengo la mfalme lilikua apatikane mama atakaeweza KUMLETA mwanae Ana na kumpenda yeye pia lakn haikua hivo...
Queen eliza ambae alikua mke mpya wa mfalme alikua mkatili Sana na mwenye roho mbaya lakn pia alikua ni mchawi mno na ktk jumba la kifalme malkia huyu alikua na chumba Cha Siri na ndan ya chumba hiko alikua na kioo Cha ajabu kioo hiko ndan yake kulikua na jini ambae alikua alimpa habar za Siri malkia huyo

Mbali na uchafu wa Tabia ya malkia huyo lakn pia queen eliza alipenda KUJIONA yeye ni Bora kuliko wanawake wote wa Babylon na ndipo sku moja akaingia ktk chumba Cha Siri na kuzungumza na kioo chake Cha kichawi

( ashi hakika mim nimemuua mke wa mfalme sababu yeye alikua ni mzuri Sana kuzid wanawake ote wa Babylon nazan mim ndie mke wa mfalme kwa Sasa na ndie mwanamke mzur kuzid wanawake ote ktk hii nchi ya Babylon)
( Ni kweli mtukufu malkia lakn je unajua kua yupo mwanamke mzuri Sana kukuzid ww)
( ashii sitak NISIKIE Tena huo ujinga wako Tena)
( Kwan haujui kua mwana wa mfalme ni mrembo Sana ?)
( Kwa sababu yeye ni mtoto bas kuanzia Sasa atakua mtumwa na ataishi maisha ya mateso had ukubwan kwake nazan hii itapunguza uzur wake)
( lakn unazan babayake atakuacha uyafanye hayo kwa mwanae wa kipekee??)
( hahahahahaha yule ni mume wangu najua nn nitafanya juu yake)

Malkia huyu aliamua kumloga mumewe ili apate nafasi ya kumfanyisha Kaz Ana k**a mtumwa, na hapo mfalme alianza kuumwa taratibu maradhi ya kichawi na akawa mtu asiekua na nguvu mtu wa kulala tu kitandan ,
Wakat huo quenn Eliza alichukua princess Ana na kuanza k

You know what!?
26/11/2023

You know what!?

Say something
26/11/2023

Say something

25/11/2023
25/11/2023

Address

Morogoro

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when kachic nyoni posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to kachic nyoni:

Share

Category