Kilosa district

Kilosa district we provide you with the best information you may need, we bring people together and let people who were here know whats going on in kilosa

District located in Morogoro Region

Find your classmates, schoolmates get to know them and catch up
12/06/2020

Find your classmates, schoolmates get to know them and catch up

16/07/2019

MJUE JIRANI YAKO kwa kuandika eneo unalotoka. Kisha jirani yako atakupa like au comment

TULIKUA TUNAITA LYTafuta marafiki uliomaliza nao shule au chuo chochote wilayani kilosa, Chagua picha yenye mwaka ulioma...
06/01/2017

TULIKUA TUNAITA LY

Tafuta marafiki uliomaliza nao shule au chuo chochote wilayani kilosa,
Chagua picha yenye mwaka uliomaliza shule Comment kwa kuandika jina la shule (au chuo) uliyomaliza likifuatiwa na neno primary au secondary.
Unaweza ku-Post picha au Comment na uwakumbushe marafiki zako mambo unayoyakumbuka shuleni, taja majina ya waalimu na marafiki uliokuwa nao kipindi hicho, malizia kwa kutoa tofauti ya elimu ya zamani na sasa. Kisha marafiki waliomaliza na wewe watalike na kukujibu comment yako.

-Share na marafiki zako-

01/01/2017

Heri ya mwaka mpya wanakilosa

Elizabeth Rockell (1898-1963) akiwa na mwanae Robert kwenye daraja la...
07/09/2016

Elizabeth Rockell (1898-1963) akiwa na mwanae Robert kwenye daraja la Mto mkondoa. Elizabeth ni mke wa John Malville aliesimamia ujenzi wa daraja mkondoa

Mnapajua hapa wanakilosa?
06/08/2016

Mnapajua hapa wanakilosa?

KILOSA FDC

Matengenezo ya karavati magomeni
11/01/2016

Matengenezo ya karavati magomeni

Silabu machinjioni Maji Yanapoingilia
11/01/2016

Silabu machinjioni Maji Yanapoingilia

10/01/2016

Mfano mnacheza mchezo wa kupeana (vikoba), siku mafuriko yameingia kijumbe wa kikundi anatoa taarifa kuwa box la kuifadhia hela limesombwa na maji. na kulikuwa kuna milioni 8 ambazo ilibidi upokee wiki linalofata.

je wewe k**a mwanakikundi utachukua hatua gani?

Magomeni baada ya Mafuriko
10/01/2016

Magomeni baada ya Mafuriko

Maisha ya wahanga shule ya msingi lamuliloWathirika wa mafuriko kata ya magomeni jana wamepokea msaada wa chakula. ...
07/01/2016

Maisha ya wahanga shule ya msingi lamulilo

Wathirika wa mafuriko kata ya magomeni jana wamepokea msaada wa chakula. Je unaichukuliaje hatua hii, na unadhani shule ambazo zimepokea wahanga zisifunguliwe wapema mpaka serikali itakapopata sehemu ya kuwapeleka wahanga hao. 

Address

Morogoro

Telephone

+255656250358

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kilosa district posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category