Habari vichekesho simulizi

Habari vichekesho simulizi Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Habari vichekesho simulizi, Social service, Moshi.

25/12/2025
25/12/2025

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅณ๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿคค

25/12/2025

๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿฅณ๐Ÿฅณ

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
15/10/2025

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwijaku amemsifia msanii Kusah kwa juhudi zake za kusaidia wakazi wa Bumbuli, akisema...
15/10/2025

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Mwijaku amemsifia msanii Kusah kwa juhudi zake za kusaidia wakazi wa Bumbuli, akisema kuwa anafanya mambo ya kweli na ya kugusa jamii.

Katika ujumbe huo, Mwijaku pia alitoa maoni kuhusu nafasi ya Kusah kufika mbali zaidi kwenye muziki, na kumtaja Aunty Ezekiel kwa namna anavyoweza kuwa msaada mkubwa kwenye safari ya msanii huyo.

Mwijaku aliendelea kueleza kuwa wasanii k**a Diamond Platnumz wanaweza kujifunza kitu kutoka kwa Kusah, ambaye ni mfano mzuri wa kuigwa. Baada ya ujumbe huo, Aunty Ezekiel alimjibu kwa kumuuliza kuhusu โ€œmakundiโ€ aliyoyataja, na Mwijaku akajibu: โ€œPokea simu nitasema yote.โ€

๐Ÿ—ฃ๏ธ Je, unakubaliana na maoni ya Mwijaku? Toa maoni yako hapa chini.

๐Ÿ‘‰ Mwambaaa huyuuu hapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
15/10/2025

๐Ÿ‘‰ Mwambaaa huyuuu hapa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Huwezi amini tulivyokua tukimuogopa na kumchukia eti anatupigia Van Dame wetu๐ŸคชNasoma COMMENT zenu mashabiki mliokuwa mna...
15/10/2025

Huwezi amini tulivyokua tukimuogopa na kumchukia eti anatupigia Van Dame wetu๐Ÿคช

Nasoma COMMENT zenu mashabiki mliokuwa mnatizama MOVIE hii๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo kuhusu pingamizi la kuenguliwa kwenye nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mku...
15/10/2025

Kesi ya Luhaga Mpina na ACT-Wazalendo kuhusu pingamizi la kuenguliwa kwenye nafasi ya kugombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 imetupiliwa mbali ambapo Mahak**a imeeleza kuwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba ya nchi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) haipaswi kuingiliwa na chombo chochote kwa jambo ambalo ilifanya kwa nia njema.

Uamuzi huo umetolewa leo Jumatano Oktoba 15, 2025 mbele ya Mahak**a Kuu Masjala Kuu Dodoma na kiongozi wa jopo la majaji wanaosikiliza kesi hiyo Jaji Fredrick Manyanda. Majaji wengine waliosikiliza kesi hiyo ni Sylvester Kainda na Abdallah Gonzi.

Kwa uamuzi huo, Mpina hataweza kushiriki kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu, ambao kwa sasa vyama vya siasa vinavyoshiriki vinaendelea na kampeni.

๐Ÿ‘‰

Mwambaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคธ๐Ÿคธ
15/10/2025

Mwambaaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคธ๐Ÿคธ

Mwanamke mwenye umri wa miaka 105 aitwaye Kathleen Hennings kutoka nchini Uingereza amesema siri ya kuishi maisha marefu...
15/10/2025

Mwanamke mwenye umri wa miaka 105 aitwaye Kathleen Hennings kutoka nchini Uingereza amesema siri ya kuishi maisha marefu ni rahisi tu, kubaki msela na kunywa bia kwani humfanya ajisikie kuwa na amani na furaha muda wote.

Kathleen amekuwa akifurahia kinywaji hicho cha Guiness cha Kiairish tangu akiwa kijana na anasema ndicho kimechangia afya na furaha yake. Wakati wa kusherehekea siku yake ya kuzaliwa ya miaka 105, kampuni ya Guinness ilimtumia zawadi maalumu yenye bia na vitu mbalimbali.

Kathleen, ambaye hakuwahi kuolewa, alitania kwamba kuepuka msongo wa mahusiano kumemsaidia kuishi muda mrefu zaidi. Watu waliomzunguka wanasema uchangamfu wake, uhuru wake, na upendo wake maisha ndio siri kuu inayomfanya aendelee kuwa na nguvu na furaha hadi leo.

๐Ÿ˜๐Ÿ˜nimerejea online Tena tangu mwaka Jana nitoweke ๐Ÿ™๐Ÿ™tupo pamoja
15/02/2022

๐Ÿ˜๐Ÿ˜nimerejea online Tena tangu mwaka Jana nitoweke ๐Ÿ™๐Ÿ™tupo pamoja

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
16/08/2021

๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€

Address

Moshi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Habari vichekesho simulizi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Habari vichekesho simulizi:

Share