Bodi ya Maji Bonde la Pangani-PBWB

Bodi ya Maji Bonde la Pangani-PBWB Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Bodi ya Maji Bonde la Pangani-PBWB, Government Organization, Old Moshi Road, Moshi.

Taasisi ya Serikali inayohusika na Usimamizi wa Rasilimali za Maji katika Bonde la Pangani katika Mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, Tanga na Manyara (Simanjiro)-( A government organization responsible for Water Resources Management in the Pangani Basin)

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 08 JUNI 2026
08/06/2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 08 JUNI 2026

USHIRIKI WA BONDE LA PANGANI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, WILAYA ROMBO.Bodi ya Maji Bonde...
07/06/2026

USHIRIKI WA BONDE LA PANGANI KATIKA MAADHIMISHO YA KILELE CHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI, WILAYA ROMBO.

Bodi ya Maji Bonde la Pangani ilihitimisha wiki ya Mazingira Duniani kwa kuungana na Wadau mbalimbali wa Mazingira katika kuadhimisha kilele ya siku ya Mazingira Duniani ambayo Kimkoa Kilimanjaro ilifanyika Wilaya ya Rombo, tarehe 05 Juni 2026.

Wataalamu wa Bonde la Pangani walitoa elimu kwa wadau kupitia Banda la Maonyesho la Bonde kuhusu shughuli mbalimbali zinazotekelezwa na Bonde hususani uhifadhi wa vyanzo vya maji na mazingira ambapo elimu hiyo ilijikita zaidi kwenye utambuzi wa mipaka ya mita 60 ya vyanzo vya maji, usimikaji wa alama za mipaka (Beacons) katika vyanzo hivyo na upandaji wa miti ya asili na rafiki na vyanzo vya maji ili kurejesha uoto wa asili katika mazingira.

Mgeni rasmi alikuwa Mhe.Mkuu wa Wilaya ya Rombo kwa niaba ya Mhe. Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro ambapo alitambua jitihada zinzofanywa na Bonde la Pangani kww kushirikiana na Jumuiya za Watumia Maji na Uhifadhi wa Mazingira za Vidakio vya mto Ungwasi na Tarakea-Rongai wanaotekeleza usimamizi endelevu wa rasilimali za maji katika Wilaya ya Rombo.

Katika Wiki ya Mazingira Duniani, Bodi ilitekeleza kazi mbalimbali ikiwemo ushirikishwaji wa wananchi kwa kutoa elimu ya uhifadhi wa vyanzo vya maji na usimikaji wa alama za mipaka katika vijiji vya Mabungo, Faru na Njiapanda Mashariki na Magharibi Wilaya ya Moshi. Vilevile, Bodi ilishirikiana na Wadau wa mazingira kufanya usafi katika msitu wa asili wa Rau na Mto Manispaa ya Moshi.
*Kazinaututunasongambele
"UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI NI JUKUMU LETU SOTE "

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 7 JUNI 2026
07/06/2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 7 JUNI 2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 06 JUNI 2026
06/06/2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 06 JUNI 2026

05/06/2026
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 05 JUNI 2026
05/06/2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 05 JUNI 2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 04 MEI 2026
04/06/2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 04 MEI 2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 03 JUNI 2026
03/06/2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 03 JUNI 2026

KIKAO KAZI CHA 4 CHA KAMATI YA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA MAJI  YA WAJUMBE WA BODI YA MAJI BONDE LA PANGANI Wajumbe wa K...
02/06/2026

KIKAO KAZI CHA 4 CHA KAMATI YA USIMAMIZI WA RASILIMALI ZA MAJI YA WAJUMBE WA BODI YA MAJI BONDE LA PANGANI

Wajumbe wa Kamati ya Usimamizi wa Rasilimali za Maji wamefanya kikao kazi cha 4 cha Kamati hiyo Mjini Moshi leo tarehe 2 Juni 2026.

Mwenyekiti wa Kamati Bw. Benjamin Dotto Majanga aliwaongoza wajumbe kujadili agenda za kikao pamoja na Kusoma na kudhibitisha muhtasari wa kikao kilichopita cha tarehe 4/3/2026 pamoja na yatokanayo na kikao hicho.

Katika kikao cha tarehe 2 Juni 2026 kilijadili kwa kina taarifa ya hali ya maji katika Bonde la Pangani kwa Robo ya Tatu ya Mwaka wa Fedha 2025/2026. Taarifa ya maombi ya Vibali vya matumizi ya maji na kutiririsha majitaka pamoja na taarifa ya uhamasishaji na utatuzi wa migogoro katika Usimamizi wa Rasilimali za Maji.

Kufanyika kwa kikao hicho ni maandalizi ya awali kabla ya Kufanyika kwa Kikao kijacho cha Bodi ya Pangani ambapo kitajadili taarifa na mapendekezo mbalimbali kutoka kwenye Kamati mbalimbali za Bodi.

*kazinaututunasongambele
"UTUNZAJI WA VYANZO VYA MAJI NI JUKUMU LETU SOTE "

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 02 JUNI 2026
02/06/2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU HALI YA MAJI KWENYE BWAWA LA NYUMBA YA MUNGU KWA TAREHE 02 JUNI 2026

Address

Old Moshi Road
Moshi

Opening Hours

Monday 07:30 - 15:30
Tuesday 07:30 - 15:30
Wednesday 07:30 - 15:30
Thursday 07:30 - 15:30
Friday 07:30 - 15:30

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bodi ya Maji Bonde la Pangani-PBWB posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Bodi ya Maji Bonde la Pangani-PBWB:

Share