Huduma ya Maneno ya Uzima Tanzania na Mtume Edmund J. M

Huduma ya Maneno ya Uzima Tanzania na Mtume Edmund J. M Eternal words missions

19/02/2026

I'm in the top 0% of Dr Ibrahim Chenza-PhD fans. I earned 590 points on their weekly engagement list last week.

17/02/2026

With Dr Ibrahim Chenza-PhD – I just made it onto their weekly engagement list by being one of their top engagers!

KUTOA SIO KUWA NA VINGI UKAKOSA PA KUVIWEKA KUTOA SIO VIMEKWISHA MUDA WAKE WA KUTUMIKANKKUTOA NI ATA KWA HIVYO VICHACHE ...
17/02/2026

KUTOA SIO KUWA NA VINGI UKAKOSA PA KUVIWEKA
KUTOA SIO VIMEKWISHA MUDA WAKE WA KUTUMIKA
NK
KUTOA NI ATA KWA HIVYO VICHACHE VYENYE UBORA ULIVYONAVYO, TENA UNAVYOVIPENDA NA UNAVIONA KABISA VINAKUFAA ,
TOA K**A KANUNI YA UTU ,
TOA K**A SEHEMU YA TARATIBU ZA KUMUISHI MUNGU,
TOA ILI VIONGEZEKE
TOA ILI VIJE VINGINE
TOA ILI KUJIPONYA
TOA ILI KUJILINDA .
MYU Ministry
Mtume Edmund John

13/01/2026

HATIMA YAKO NI KWA AJILI YA WENGINE NDIO MAANA UKIITUMIA VIBAYA WATAKULAUMU SANA BILA KUJALI NI YAKWAKO WEWE.

HII INAFIKIRISHA
15/12/2025

HII INAFIKIRISHA

Siku ukipoteza kazi ndio utajua kuwa wafanyakazi wenzako sio dada zako wala kaka zako wala hawakuwahi kuwa marafiki zako!! watakuheshimu tu ikiwa ulipopoteza kazi ukaenda kupata kazi nzuri kuliko hiyo ya mwanzo ila wakisikia huna hata pa kujishikiza hata simu zako hawatapokea wali wangu!! hakuna rafiki wa kweli kazini wanakuja na kuondoka!!

Fanya kazi pokea mshahara mind your on issues, kazini hakuna shost wala mwana wa kumuelezea matatizo yako ya ndoa au uchumi. Wengi watakupa pole ila watafurahia anguko lako, Usiongee plan zako zozote za kimaisha eneo la kazi wali wangu!! Unampango wa kujenga kaa kimya, unataka kuvuta ndinga kaa kimya acha wakutane na matokeo tu!!

KUNA VITA NYINGI SANA ENEO LA KAZI hata wale tunao waona wanetu sana, mashost sana ndio wanatiaga mchanga ugali wetu, chukua hii k**a alarm!! Sio kila mfanyakazi mwenzio wa kumleta home niamini mimi Kungwi Dume!!

TUkumbushane kutamka sahihi Kila unalolitamka ni Dua tosha.Likileta matokeo usilalamike.Tamka sahihi furahia matokeo ya ...
03/10/2025

TUkumbushane kutamka sahihi
Kila unalolitamka ni Dua tosha.
Likileta matokeo usilalamike.
Tamka sahihi furahia matokeo ya matamko yako. 🤝🤝🤝🙏🙏🙏✅✅
Ni huduma ya matamko yenye NISHATI ya Uzima ulimwenguni.

Address

Soweto
Moshi

Telephone

+255755354382

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Huduma ya Maneno ya Uzima Tanzania na Mtume Edmund J. M posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Huduma ya Maneno ya Uzima Tanzania na Mtume Edmund J. M:

Share