Mwauwasa

Mwauwasa Ukurasa rasmi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)
Kwa msaada piga simu namba (0800110023) BURE

Mwanza Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA) was established in July 1996 under Water Works Ordinance Cap 281 (as amended) as a semi autonomous executive agency of the government for provision of adequate, reliable and sustainable portable water and wastewater management services in Mwanza City at affordable and cost effective prices. It was declared full autonomous from January 1998 an

d was authorized to extend services to Kisesa Township in Magu District from September 2007. It is owned by the Government of Tanzania. Mwauwasa also operates in Ngudu (Kwimba District), Magu, Misungwi and Nansio (Ukerewe). .

20/08/2026
16/08/2026

Mwenge wa Uhuru wazindua rasmi Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi Misungwi, unaonufaisha zaidi ya wakazi 22,482 wa maeneo ya Ng’ombe, Iteja, Mbela B, Mbela D, Mbela C, Old Misungwi, Mwamanga na Mitindo B.

Picha za matukio mbalimbali leo Mwenge wa Uhuru Ulipozindua Mradi wa maji Misungwi uliotekelezwa na MWAUWASA ili kuimari...
16/08/2026

Picha za matukio mbalimbali leo Mwenge wa Uhuru Ulipozindua Mradi wa maji Misungwi uliotekelezwa na MWAUWASA ili kuimarisha huduma ya maji Misungwi Mjini.

MWENGE WA UHURU: BUHONGWA KUONGEZEWA UHAKIKA WA MAJIMwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 umefika Buhongwa na kushuhudia hatua ya...
13/08/2026

MWENGE WA UHURU: BUHONGWA KUONGEZEWA UHAKIKA WA MAJI

Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026 umefika Buhongwa na kushuhudia hatua ya utekelezaji wa mradi unaolenga kuongeza uhakika wa upatikanaji wa maji kwa wananchi zaidi ya 80,000. Tanki la Buhongwa lenye ujazo wa lita milioni 10 limefikia asilimia 85 ya ujenzi, likiwa sehemu ya uwekezaji mkubwa wa MWAUWASA katika kuimarisha uwezo wa kuhifadhi na kusambaza maji jijini Mwanza.

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2026, Ndugu Wazo Mwang’onda, ameridhishwa na maendeleo ya mradi huo na kuipongeza MWAUWASA kwa kusimamia utekelezaji wa mradi kwa tija. Ziara hiyo imekuwa pia wito kwa wananchi kuwa sehemu ya ulinzi wa miundombinu ya maji, kwa kutambua kuwa kila uwekezaji unaolindwa leo ni uhakika wa huduma kwa kizazi cha sasa na kijacho.

Tanki la Buhongwa ni sehemu ya mradi wa matenki matano wenye uwezo wa jumla wa lita milioni 31, unaohusisha pia mabomba makuu ya kilomita 40.5 na vituo viwili vya kusukuma maji. Mradi mzima unatarajiwa kuboresha huduma ya maji kwa takribani wananchi 450,000 katika Jiji la Mwanza na maeneo ya pembezoni. Mwenge umeona hatua; MWAUWASA inaendelea kujenga uhakika wa kila tone.

13/08/2026

Mwenge wa Uhuru wakagua maendeleo ya ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Tenki la maji Buhongwa.

Wananchi Takribani 80,000 kunufaika

11/08/2026

MRADI WA MAJI IGOMBE - KABANGAJA WAZINDULIWA RASMI NA MWENGE WA UHURU

WANANCHI ZAIDI YA 34,000 KUNUFAIKA

Picha za matukio mbalimbali ya uzinduzi wa Mradi wa Mtambo wa Kusafisha maji Igombe - Kabangaja uliozinduliwa leo Tarehe...
11/08/2026

Picha za matukio mbalimbali ya uzinduzi wa Mradi wa Mtambo wa Kusafisha maji Igombe - Kabangaja uliozinduliwa leo Tarehe 11 Agosti, 2026 na kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa.

Address

P. O. Box 317
Mwanza
255

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 18:00

Telephone

+255800110023

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mwauwasa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mwauwasa:

Shortcuts

Share