19/06/2023
Tukio la mahafali ya wapinga rushwa chuo kikuu mzumbe ndaki kuu Morogoro ilifanyika Fanon siku ya jumapili saa nane mchana Hadi saa moja usiku .Mgeni Rasmi katika mahafali ya wapinga rushwa alikuwa ni Dr.Lukiko , Mgeni Rasmi alitoa Elimu ya rushwa ya ngono pamoja na kutoa vyeti kwa wanachama wanao maliza masomo yao kwa mwaka 2020-2023.
Uongozi unampongeza Rais Debora Musabalala kwa kumaliza uongozi wake salama.