25/07/2022
TANGAZO LA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe anakaribisha maaombi ya kazi kutoka kwa watanzania wenye sifa, uwezo na nia ya kufanya kazi katika Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe.