Shule ya Msingi Mang'oto

Shule ya Msingi Mang'oto Karibu kwenye ukurasa rasmi wa shule ya msingi Mang'oto. Elimu Kwanza.

Wahitimu wa darasa la saba mwaka 2022 waliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza mwaka 2023.
02/06/2023

Wahitimu wa darasa la saba mwaka 2022 waliochaguliwa kwenda kidato cha kwanza mwaka 2023.

09/09/2021
20/12/2020

Uongozi wa Shule ya Msingi Mang'oto unawapongeza wahitimu wa darasa la saba mwaka 2020 waliochaguliwa kujiunga na Mang'oto Secondary School kwa masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021.

Tunawatakia kila la kheri katika safari yao ya elimu.

Send a message to learn more

27/11/2020

Tunawapongeza wanafunzi waliohitimu darasa la saba mwaka 2020 kwa matokeo mazuri waliyoyapata. Tunaamini hili limewezekana kwa kuunganisha juhudi za pamoja za walimu, wazazi na wanafunzi.

Tunawatakia kila la kheri katika safari yao ya elimu huko mbeleni.

Send a message to learn more

13/11/2020

Huu ni ukurasa wetu wakazi wa kijiji cha Mang'oto kwa ajili ya shule yetu.

Address

Mang'oto
Njombe

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:30
Tuesday 08:00 - 16:30
Wednesday 08:00 - 16:30
Thursday 08:00 - 16:30
Friday 08:00 - 16:30

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Shule ya Msingi Mang'oto posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category