Joh sports

Joh sports Michezo

KIKOSI BORA CHA WIKI CHA  ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Ronwen Williams [Mamelodi]๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kapombe [Simba]๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Patou Simbi[AS Vita]๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Arsรฉne Zola [Wydad]๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ...
21/03/2023

KIKOSI BORA CHA WIKI CHA

๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Ronwen Williams [Mamelodi]
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kapombe [Simba]
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Patou Simbi[AS Vita]
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Arsรฉne Zola [Wydad]
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Mouad Haddad [Belouzidad]
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฟ Zakaria Draoui [Belouzidad]
๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฑ Sadio Kanoute [Simba]
๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ถ Mahmoud Kahraba [Al Ahly]
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ Jean Baleke [Simba]
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ Clatous Chama (Simba)
๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ Percy Tau [Al Ahly]


Shabiki wa Everton Paul Stratton (44) ambaye ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Jiji la Liverpool hapo jana alipata nafasi ...
30/07/2022

Shabiki wa Everton Paul Stratton (44) ambaye ni mfanyakazi wa Halmashauri ya Jiji la Liverpool hapo jana alipata nafasi ya kucheza mechi ya kirafiki na wachezaji wa timu hiyo katika mchezo wa Kirafiki dhidi ya Dynamo Kyiv.

Stratton alipata heshima hiyo baada ya kujitoa kwake katika kusaidia chakula na vifaa muhimu kwa wakimbizi wa Ukraine ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ waliopo Poland ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡ฑ wanaoishi maisha magumu kutokana na tukio la kuvamiwa na Urusi.

Katika mchezo huo Stratton aliingia na kufunga bao la penati katika dakika za lala salama wakati huo Everton wakiongoza mabao 3-0 yaliyofungwa na Calvert - Lewin pamoja na nyota wao mpya McNeil aliyefunga mabao mawili.

Heshima ๐Ÿ™Œ


Azam FC watambulisha mtoko wao wa TAIFA ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ
29/07/2022

Azam FC watambulisha mtoko wao wa TAIFA ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ๐Ÿ’ฃ

Maneno ya beki wa Simba Mohamed Outtarah ALL THE BEST BROTHERI am really saddened by this news, although I cannot interf...
28/07/2022

Maneno ya beki wa Simba Mohamed Outtarah

ALL THE BEST BROTHER

I am really saddened by this news, although I cannot interfere with the decisions of the leadership, but I wish you all the best in your struggle, brother Kagere Medie

๐ŸšจLEO USIKUTimu ya Wananchi Yanga leo majira ya saa 1:00 usiku itakwenda kuzindua rasmi jezi yao mpya ya msimu 2022-23.Tu...
28/07/2022

๐ŸšจLEO USIKU

Timu ya Wananchi Yanga leo majira ya saa 1:00 usiku itakwenda kuzindua rasmi jezi yao mpya ya msimu 2022-23.

Tukio zima la uzinduzi wa jezi mpya litakuwa mubashara channel ya Azam sports HD 1 ๐ŸŸก๐ŸŸข๐Ÿค.

๐Ÿšจ Kiungo wa Juventus ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Paul Pogba ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท yupo hatarini kukosa mechi zote za mwaka huu 2022 kutokana na kusumbuliwa na majer...
28/07/2022

๐Ÿšจ Kiungo wa Juventus ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡น Paul Pogba ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท yupo hatarini kukosa mechi zote za mwaka huu 2022 kutokana na kusumbuliwa na majeraha.

Kiungo huyo anatazamiwa kurejea dimbani mwanzoni mwa mwaka 2023 hivyo atakosa michuano ya Kombe la dunia mwaka huu.


Mnyama kasurubishwa huko
27/07/2022

Mnyama kasurubishwa huko

Rasmi Kampuni ya Kubashiri ya SportPesa imesaini mkataba wa Kihistoria na Young Africans SC wa Miaka Mitatu wenye thaman...
27/07/2022

Rasmi Kampuni ya Kubashiri ya SportPesa imesaini mkataba wa Kihistoria na Young Africans SC wa Miaka Mitatu wenye thamani ya Sh. BIllion 12.335 k**a mdhamini mkuu.

Hii ndo Maana Halisi Ya Klabu ๐—ž๐—จ๐—•๐—ช๐—”๐Ÿ”ฐ




LUNYASI NYIEEEEEE ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ—ฃ๏ธ"Cesar Manzoki Mtambo wa mabao huu msimu uliopita ndani ya Ligi Kuu ya Uganda alifunga mabao โšฝ-1...
27/07/2022

LUNYASI NYIEEEEEE ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

๐Ÿ—ฃ๏ธ"Cesar Manzoki Mtambo wa mabao huu msimu uliopita ndani ya Ligi Kuu ya Uganda alifunga mabao โšฝ-18 na kutoa Assist ๐ŸŽฏ-5 hivyo kuhusika katika mabao 23 hii ikachangia Vipers FC kutwaa Ubingwa wa Ligi Kuu ya Uganda ๐Ÿ†๐Ÿฅ‡๐Ÿ”ฅ".

๐Ÿ—ฃ๏ธ"Nyota huyu muda wowote atakuwa Mali ya YAANI Vipers FC wamebana weeee afu wameachia baada ya mmoja wa Vigogo wa Lunyasi kukwea P**a kuwafuata huko huko kwao ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ mwamba alishinda tuzo tano ๐ŸŽ–๏ธ๐ŸŽ–๏ธ๐ŸŽ–๏ธ๐ŸŽ–๏ธ๐ŸŽ–๏ธ huyu wakati wa ugawaji wa tuzo za msimu 2021-22.

๐Ÿ—ฃ๏ธ" na Wanasema kwa sasa wekundu wa Msimbazi wamekua kwa sababu Nyota wao wengi wanaohusishwa nao Wana namba nzuri sana huko wanakotoka hapa wakamgusia Moses Phiri na Okrah pia usajili wa BEKI kitasa Ouattara ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ".

๐ŸŽผ๐ŸŽต๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚KWA HUU USAJILI WA SIMBA SC KUNA TIMU MSIMU UJAO ZITAJITOA MAPEMA KIMATAIFA ILI ZIPATE MDA WA KUPAMBANA NA HAWA JAMAAA KWENYE NBC

Tunazidi kwenda juu โฌ†๏ธAsanteni watu wote kwa kutufikisha kwenye subscribers laki tatu na kuwa klabu ya nne Afrika kwa ku...
26/07/2022

Tunazidi kwenda juu โฌ†๏ธ

Asanteni watu wote kwa kutufikisha kwenye subscribers laki tatu na kuwa klabu ya nne Afrika kwa kuwa na wafuasi wengi YouTube.

FISTON MAYELE KUHUSU OFA YAKE NA KAIZER CHIEF"Ni kweli nilipata Ofa ya Kaizer Chief waliniahidi Mshahara mkubwa niliwaam...
26/07/2022

FISTON MAYELE KUHUSU OFA YAKE NA KAIZER CHIEF

"Ni kweli nilipata Ofa ya Kaizer Chief waliniahidi Mshahara mkubwa niliwaambia Viongozi wa Yanga lakini walikataa ofa hio sababu bado nina mkataba wa Mwaka Mmoja hivyo Mimi bado mchezaji halali wa Yanga"- Fiston Mayele

Je una ndoto za kuwa mchezaji wa timu kubwa k**a Pamba Fc Karibu kesho majira ya Saa 3:00 Asubuhi kwenye uwanja wa Nyama...
25/07/2022

Je una ndoto za kuwa mchezaji wa timu kubwa k**a Pamba Fc Karibu kesho majira ya Saa 3:00 Asubuhi kwenye uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kutimiza ndoto Zako

Address

Mwanza
Nyegezi

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Joh sports posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category