Kirongochini Secondary School

Kirongochini Secondary School looking for school partners to share our experience

kirongochini secondary school, is a community based school located at Usseri, Rombo, Moshi, Kilimanjaro Tanzania which established in 2005.

Hakika mwenda kwao siyo mtoro, na mcheza kwao hutunzwa"ninayo furaha kubwa kuwaalika Ndugu, jamaa na wahitimu wote walio...
11/10/2017

Hakika mwenda kwao siyo mtoro, na mcheza kwao hutunzwa
"ninayo furaha kubwa kuwaalika Ndugu, jamaa na wahitimu wote waliomaliza Shule ya sekondari Kirongochini kwenye mahafali ya kumi ya kidato cha NNE yatakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 14/10/2017 shuleni Kirongochini. Tunaimani Shule imetoa wataalamu mbalimbali na wafanyabiashara wenye weledi Wa Biashara, hivyo tunaomba wadau wote wenye mapenzi Mema kuendelea kuunga mkono jitihada hizi za Shule katika kuboresha utoaji Wa Elimu nje na ndani ya Shule, karibuni sana ktk mahafali hii ya kipekee""HAIJAWAHI TOKEA FIKA NA JUMUIKA NASI"
Karibuni sana

05/09/2017

Tunawakaribisha sana wana Kirongo kwenye mahafali ya 10 mwezi Wa 10
2017 tutunze kwetu ili tukumbukwe na wakwetu

Tulikupenda sana mwanafunzi wetu lakini Mungu amekupenda zaidi ,Ukapumzike kwa amani Amina
06/05/2017

Tulikupenda sana mwanafunzi wetu lakini Mungu amekupenda zaidi ,Ukapumzike kwa amani Amina

15/02/2017

Being together with a common goal is a one thing to proud off

Naikumbuka sana staff mate yangu jaman
20/01/2017

Naikumbuka sana staff mate yangu jaman

14/10/2016
22/09/2016

Address

Mkuu
Old Moshi

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kirongochini Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Kirongochini Secondary School:

Share