Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Same

Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Same Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Same, Government Organization, Same.

30/08/2024
27/08/2024

Rais wa Jamhuri ya Muungo wa Tanzania Mhe, Dkt, Samia Suluhu Hassan leo atafanya ziara ya kikazi nchini Kenya kufuatia mualiko wa rais wa nchi hiyo Mhe William Ruto.

Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo anawakaribisha wadau wote wa Maendeleo katika Kongamano kubwa la Kumbukumbu ya Mw...
11/10/2022

Mkuu wa Wilaya ya Same, Edward Mpogolo anawakaribisha wadau wote wa Maendeleo katika Kongamano kubwa la Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere.

Kongamano hili litafanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Same.

Kutakuwa na mada mbalimbali zinazohusu Uongozi Mahiri wa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.




Nilishiriki Msaragambo wa Uchimbaji wa Barabara ya kuunganisha Kijiji cha Gavao-Ngarito kata ya Gavao na Kijiji cha Gund...
16/09/2022

Nilishiriki Msaragambo wa Uchimbaji wa Barabara ya kuunganisha Kijiji cha Gavao-Ngarito kata ya Gavao na Kijiji cha Gundu-Sine Kata ya Hedaru.

Nilipata nafasi ya kusalimia kwenye Hafla ya RC Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ya Ugawaji wa Vitabu aina Tatu vya Mwongozo...
08/09/2022

Nilipata nafasi ya kusalimia kwenye Hafla ya RC Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ya Ugawaji wa Vitabu aina Tatu vya Mwongozo wa Elimu Tanzania.

Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe ...
07/09/2022

Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe katika kata ya Bombo Wilaya ya Same utawapunguzia wananchi kero ya kutembea kwa takribani kilomita 18 wakitumia barabara ya mzunguko ya Maore – Vuje – Bombo.

Akizungumza mbele ya bodi ya ushauri ya TARURA iliyofanya ziara ya ukaguzi, kaimu meneja wa TARURA Wilaya ya Same mhandisi James Nyamega alisema barabara hiyo itakuwa ni ukombozi mkubwa kwa wananchi wa kata ya Bombo na Maore kwasababu ni fupi.


Kila Mzazi Peleka Mtoto chini ya miaka 5 kupata Chanjo katika vituo vya kutolea huduma ya Afya.
31/08/2022

Kila Mzazi Peleka Mtoto chini ya miaka 5 kupata Chanjo katika vituo vya kutolea huduma ya Afya.



Address

Same

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Same posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share