Ntenga Secondary School

Ntenga Secondary School A page for Ntenga Secondary Students

07/03/2026
03/03/2026
21/02/2026

Habari za mfungo wa Ramadhani, Kwaresma, Sabato na Weekend njema kwa wote.

Gonja Vuje tunawatakia kila la kheri katika nyakati hizi za ibada, tafakari na mapumziko.

Pia, tunaomba kwa yeyote mwenye maudhui yanayohusiana na jamii yetu ya Gonja vuje iwe ni picha, makala, taarifa au jambo lolote lenye manufaa kwa jamii asisite kuwasiliana nasi kupitia barua pepe yetu rasmi: 📧 [email protected]

Credit itatolewa kwa kila atakayewasilisha maudhui, makala au taarifa yoyote itakayochapishwa inayohusu Gonja Vuje.

Asanteni sana. Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa ushirikiano wenu.

-AK

02/01/2026

Address

Ntenga
Same
BOX263

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ntenga Secondary School posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Ntenga Secondary School:

Share

Category